Kurunzi

preview_player
Показать описание
Mambo Mapya 👉DW, imeanza kuwaandalia aina mpya ya vidio ambazo tumezipa jina la KURUNZI. Hizi tutakuwa tukizichapisha katika kurasa zetu zote za kijamii. Kutakuwa na video kuhusu taarifa muhimu ya siku itakayoandaliwa kwa ajili ya wafuatiliaji wetu vijana. Kwa hiyo msikilizaji jiandae ufuatilie video zetu za KURUNZI ujielimishe, uburudike na ujifunze mengi.#kurunzi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Naipenda aina mpya huo unao tu wezesha kutuma maswali, ila njia maalum ya kutuma hizo maswali, maana kuna njia mwingine ujumbe haisomeki

jacobzawadi