🔴#LIVE: BAHARIA ALIYETOSWA BAHARINI AKIWA HAI, Asimulia MATESO ALIYOPITIA NUSU AFE | MAPITO PART 2..

preview_player
Показать описание
🔴#LIVE: BAHARIA ALIYETOSWA BAHARINI AKIWA HAI, Asimulia MATESO ALIYOPITIA NUSU AFE | MAPITO PART 2..

KARIBU kutazama kipindi cha MAPITO kinacholetwa kwako na GLOBAL TV kila wiki, Leo tumetembelewa na Kijana Bashir Bashir, mkazi wa Mabibo jijini Dar es Salaam, ni miongoni mwa vijana waliowahi kuzamia meli na hapa anasimulia mikasa mbalimbali aliyokutana nayo katika harakati zake za kuzamia meli.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Bashiru ana vitu vingi vingi vimejificha sema dada ana moto haendi nae kihekima.

barakatabdul
Автор

Huyu jamaaa anatakiwa ahojiwe na media kama millardayo ana vitu sana, huyu maza anafeli kumuuliza maswali

sadamissa
Автор

Mtangazaji unahoji vizuri, keep it up, comments zisikushushe moyo

deepconcept
Автор

Vijana tunapitia changamoto nyingi. Mimi Nina mkasa mzito kuhusu safari yangu ya Mbagala Kiburugwa 🤣🤣

kanyikakanyika
Автор

Ayo tv na dar24 dupa mdupange mtafuteni Huyu jamaa ana madini sanaaa

sulleyally
Автор

Dah noma aisee hiyo yakutiwa kwenye kiroba alafu mzima alafu unatupwa kwenye maji...umekwishaa...

dsuzerbweko
Автор

Huyu angeachwa ajielezee mwenyewe...mtangazaji maswali hayakuwa na umuhimu

aminmohammed
Автор

Mtangazaji waki anaharib story damn shubakengemti

africano.
Автор

Unamuingilia sana ssa unamfundisha maisha yake hauna lolote

nabrycedawood
Автор

Mimi ninayo stori yangu nilizamia meli.mwaka 1987 December katika bandari ya Kenya mombasa.inaitwa port kilindini .maisha ya Mombasa yalikuwa magumu Sana . nchini kanya nilifungwa mara mbili mara ya Kwanza nilifungwa miezi 6 kwa kosa lakuishi nchini Kenya bila kibala.baada ya kutoka jela sikurudi nyumbani nakaendelea kukaa Kenya ni kashikwa tena na nikafungwa miezi mitatu katika jela baridi inaitwa majengo Preson.baada ya kumaliza kifungo changu sikurudi nyumbani.nikaona apa nitakufa kwa maisha Aya nikaamua nipande meli yoyote intakayoi jua kama inaondoka
Nilipata habari kwamba kuna meli ya wachina inaondoka kesho yake .nikaenda pale get no 9 usiku kama saa Saba nikapanda ngazi

MohamedAli-hofq
Автор

Safi Sana lakini baharia asikiki vizuri asogelee mic

amirclassic
Автор

Ungemuacha aelezee mwenyewe siyo kumuhoji

ramadhanmasiku
Автор

Simulizi kama hiz huwa napenda sana kuskiliza zina mafunzo

adolphyamin
Автор

Jamaa anamadini sana ila mtangazaji anakosea kumuoji ajafanya utafiti kabisa

boblatino
Автор

NDANDA LUBEBELA BASHIRI KUTOKA MABIBO BEACH ❤

fadhilially
Автор

Unamuhoji mtu unaenda mbele una ludi nyuma hatukuelew

hashmseif
Автор

waburundii badoo tupoo kwa mzee dizoongaa uyoo ni jeshii kashapitiya life ngumuu

muhitiraamissy
Автор

Mbona tunaishi vizuri south Africa 🇿🇦🇿🇦

tonyytelala
Автор

Huyu mdada anazingua kweli yaani unajua hasomeki..!

sulaimanhemed
Автор

Jamaa anastory mzuri ila anayemuhoji alitakiwa afahamu mazingira ya Mabaharia na wazamiaji ndo ingekuwa bomba

mwananchipicha