Photoshop Mastery - Kozi ya Mafunzo ya Adobe Photoshop mwanzo mwisho

preview_player
Показать описание
Photoshop Mastery sio kozi rahisi. Ni sawa na njia ambayo tunakushika kwa mkono na kukuongoza na kukufundisha ujuzi wa Kutumia Photoshop. Mwishoni mwa kozi, utaweza kusonga na kutekeleza ideas zako kwa uhuru na ubunifu kamili.

💡 Mambo utakayojifunza katika kozi hii 💡
✅ Introduction:
✅ Tools:
✅ Color & Lights:
✅ Photo Retouching:
✅ Creative Design:
✅ Photo Colorization:
✅ Tips & Tricks:
✅ Bonus

👉Usikose fursa hii nzuri ya kuwa Photoshop Pro👈
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

❤❤❤ nataman kuwa mwanafunzi wako kaka mahana napenda sana ufundishaj wako

SAMWELIIDRISSA
Автор

Rich Niaje, hii Mic unayotumia naomba kujua jina lake, pia naomba kama hautojali nianbie ulikonunua! Appreciate ✊🏿

JubonOnline
Автор

Aisee Hii Course Imeshibaa Mnoo....Sio Ya Kukosa Aisee....Congrats Bro

abrahtv
Автор

Ungeweka mawasiliano yako ingependeza zaidi

angeldecute
Автор

Naweza kuyipataje iyo cause ao naweza kulipa ngap?

JojbClassic
Автор

Naomba kujua nikijiunga inatakiwa niwe na simu au pc

thomasdonald
Автор

Teacher naomba namba yako ya WhatsApp ...kuna tool ya FL studio naiihitaji ....nataka uniuzie 🙏🙏

muhaallancomedy
Автор

Ok coz ina gharama gani na je kama hauna programu ya photo shop una saidiaje

bnight
Автор

Vigezo ni vip kujiunga najaribu inagoma

masanzatv