MASHABIKI WA YANGA WAWASHA MOTO KWA REFA / KAWABEBA SANA SIMBA / HATUMTAKI TENA

preview_player
Показать описание
#live #manara #yanga #leo #simba #jezimpya #mandonga #simbaday #derby #barnaba #wasafibet #Mletemzungu #azamfc #mtibwasugar #namungo #dabi #derby #job #dickson #kariakoo
The Official YouTube Channel Account J&R Mtita From Tanzania Regrister by Tanzania Communications Regulation Authority (TCRA)

Contact : +255 716 051 853
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mtaongea Sana sisi simba tunamshukuru mungu katika kila Jambo tunakuomba mungu atusaidie mechi zijazo tuendelee kupata magoli mengi na ushindi point tatu muhim kila la heri timu yangu ya simba

ezenaboniface
Автор

Mshakua kuwa walimu Leo sure boy hafai nyoko nyoko

hassanabdala
Автор

refaree msenge sana ila sio mbaya wanahonga hela ili washinde wameanza tumia bahasha

vincentkatonga
Автор

Leo wameumia sanaa walichukulia poa sana

emmanuelwilliam
Автор

Ndivyo mpira ulivyo..Kuna kushinda na kushindwa..

gracealbin
Автор

Mmmm et Bakali alikuwa na Swaumu daaa, watu wananongwaa hawaaa, ,,,ila yanga wana imani ya mbwa sanaaa, kulala nje kutegemea pua.

gisberthnyirenda
Автор

Kubebwa hawajabebwa mpira una matokeo mabaya kwa leo

simonzelote
Автор

Haiku kona lile goli mbona mna macho ya chongo

uswegendile
Автор

Bado FA tuone vikombe vyote vya YANGA tunakubali tumefungwa sawa Mendes kaangusha kabati. Azamu Msemaji wao tumuone FA. Magungu amepona wataongea miezi 3 Maneno yatakuwa hayo hayo. Kuifunga YANGA tayari Kombe la Ubingwa wamepata na wako kileleni

simonndunguru
Автор

mimi sijajua ile koma iliyopigwa mwanzo kulikuwa na tatizo gani hadi ikarudiwa kumpa nafasi Inonga kufunga!!

nickjuma
Автор

Waklaumu hakuna makolo waacheni hiyo ndo ubingwa wao

lomnyackkarani
Автор

shabiki wa utoporo hamna hakiri kwendeni uko mme rowa

ImaniLyati
Автор

Bwanaye ata SS tulimic kufunga bwana SS mabingwa

neemamboya