Mch Moses Magembe - MAOMBI YANAYOJIBIWA

preview_player
Показать описание
Ibada ya jumatano jioni katika kanisa la Pentecostal Commitment Church - Kinyerezi DSM Tanzania.

Somo: MAOMBI YANAYOJIBIWA
Andiko: LUKA 18:1
Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
Tarehe: 09.04.2025
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Amen, amen baba mungu azidi kukuongezeyq mwaka mingi, uzidi kutufundisha

thetine
Автор

Hallelujah 🙏🙏 God bless you kwa kusimama na neno la mungu

RobertLenguro
Автор

Amina mtumishi wa Mungu barikiwa saana

EliyaFerisian
Автор

Mungu awabariki na awasaidie muwe na tv yenu ili tuwaone Azam tv

marymdika
Автор

Amen Baba nimebarikiwa kwa mafunzo mema. i am kindly requesting for prayers about my son who is a candidate in kenya waiting to sit for his form four exams in November 2025 Godwilling and his performance has deteriotated. I am requestig to talk to you more please, thank you ad God bless PCC

gokudenzel
Автор

Nawezaje kupata kitabu hicho, halafu hiyo digital platform imefkia wapi maana kwa hamu tuna subiri, , , Kenya

nafasimweni
Автор

Jamani mbona sioni mafundisho ya semina? Maana mchg alisema mtakuwa live kila siku, kila siku nasubiria eti sioni au sim yangu ina shida jamanii nakosa chakula flesh.

judithmartin
Автор

Amen sana mtumish makanisa huku mikoan yanakuja lini?

RamadhaniMtindya
visit shbcf.ru