Tarifa ya habari Steve mweusi (official music video)

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nakukubali sana Steve 🔥🔥💯
Unyama mwingi🥳
Wapi likes za Steve Mweusi

mark-bketv
Автор

Simbaaa kipaji kama ndo kimeanza upiyaaaa niseme nini mm steve❤❤❤❤❤ nipeni maua yang

TinhaMsengi-hyzi
Автор

Huu wimbo Nilivyo usikiliza kwenye Daladala Nikajikuta Nimepitiliza kituo Cha kushuka, Saiz ndio narud kwa mguu😂😂😂😂 Stive.

lackson
Автор

Moment jamani... Af stivin saut Yako Iko saw kabisaaa inafaa kuwa msanii fanya bas. Tutapenda ngoma zako sana pia naamini utaitowa

daudlukumay
Автор

Good job will never cross without a reward thank you Steve Simba kiraka you have proof that not only musicians can perform in music but comedians can do it better am happy with you Steve keep on good job we as Tanzanians tupo nyuma yako .

euniceanyango
Автор

Hii ngoma itaenda mjini sana iko powa sana, ,

mamuwadomu
Автор

My stress remover, much love from Kenya ❣️🥰❣️❣️🥰

leahwanjiku
Автор

Watanzania mjifunze kurithika na kitu moja, yaani comedians karibu wote na actors wa movie za bongo pia ni wasanii wa kuimba, mrithike bna tamaa mbaya ☺️

vdjpintoh
Автор

2:08, HIVI MMEMWONA DOGO KULE NYUMA ALIVYOTUA KAMA SPIDER MAN!?😂😂😂

-n
Автор

Mweusi to the world, amazing love from kenya❤

Jacob-nq
Автор

Watching u from Zambia. U are talented bro.

prankandcomedytv
Автор

wow song utafanya nifinke Tanzania😂😂😂😍😘from Kenya👏

AaSs-kzir
Автор

Hizi habari zimefanya ni subscribe kwa Steve💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 napenda creativity

steffano-
Автор

Kweli hii ni zaidi ya taarifa ya habari umetisha sana Steve 🔥🔥🔥🔥

roi
Автор

Kweli stivi wewe chizi SAA mbona una lala kwenye maji

Pmaster-cv
Автор

Keep up Stivooh hapa umeiweza WCB yote na wasanii wake wote karibu ufikie Makonde, tupee ingine kama hii mkuu🙏🙏

tundalamaua
Автор

🤣🤣🤣🤣 location ya kulala kwenye maji nimeielewa sana but bro u made it 👏👏👏

lilianalmas
Автор

Sengela Au Upo Swa Kaka Ongera Sana❤❤❤❤❤❤

nurusaid
Автор

Mungu alibariki brother steven maan nakukubari sana

LameckDeus-ol
Автор

Mmmh stivu bana ww visa kweli wallah unapendeza unacheza huku na huku ila hata ukitoka kimziki usiache kuingiza

مكتومالدرعي
join shbcf.ru