filmov
tv
Young Scientists Tanzania 2015.

Показать описание
Tanz-Education ilipata fursa yakufanya mahojiano na wanafunzi wenye ulemavu wa Macho waliokuwa wakishiriki katika Maonyesho ya Sayansi kwa wanafunzi wa shule za sekondari, yaliyoandaliwa na Young Scientists Tanzania.