HATIMAE!! Wolper afunguka kuachana na Harmonize, Sarah kaongelewa

preview_player
Показать описание
Toka zisikike habari za kuchana kwa Mastaa wawili wa Bongo, Mwigizaji Jackline Wolper na Mwimbaji wa Bongofleva Harmonize, Wolper hakusikika wala kuongelea hii ishu mwanzo mwisho.

Na hata Harmonize alisikika akithibitisha tu kuachana kwao lakini hakumwaga povu kama hili alilomwaga Wolper kwenye ON AIR WITH MILLARD AYO..... hii video ina kila kitu, usisahau ku-install APP ya 'millardayo' kwenye ANDROID ili upate notification ya kila STORI MPYA!!!!
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama umekuja kutizama mwaka huu like hapa
👇🏽

chris_jabari
Автор

Km umekuja kuangalia baada ya hamo .kumchana rike hapa
👍

saidisande
Автор

huyu dada ameongea kwa hisia sana mpaka nimeanza kumuheshimu she has some thing SPECIAL

saidmkungo
Автор

Kaka harmonize jack amekupenda sana oooh my god bless you

marietaamiri
Автор

I love this Lady very intelligent and business minded.i wish her all the best. Am watching from Kenya

charlesmwangi
Автор

Wolper namkubali sana ananifunza sana kwenye maisha ya kila siku achana nae kabisa Piga kazi bilioner wa kesho

ablanaturalbeauty
Автор

Millard Ayo umeweza sana. Udaku huu cjui kama ningeipata mahala popote. Presenters wengi walishidwa kumconvince Jacky kusema ukweli wake ila wewe umeweza. Kazi nzuri. Big Up. #I rep254

dadychaps
Автор

Tuliokuja kuangalia baada ya ndoa ya Richie na wolper likes

hadijamshimbula
Автор

Love wolper...pole sana okay Ur vry beutifull

mayacel
Автор

Ikawaje Wolper amtaje rich mitindo katikati ya interview 😆💔🙌

mr.romancer
Автор

Naishi Nashville, Tennessee USA atakaeona hii comment amwambie Harmonize wazungu sio watu wakupendana nao amrudie mke wake

James-yjv
Автор

Take heart darling your a strong woman and God will pay you back everything in ww

cindythomas
Автор

Tunaongalia interview hii 2023 gonga like

magrethdastanhaule
Автор

Millard Ayo hongera sana brother unajua kuhoji na hongera Wolper upo poa Sana umetufunza kitu ila pole pia ndio maisha nahisi umekua kiakili

ramadhanimsenda
Автор

Daa jackline pole sana nimitihani 2 kwa mungu omba mungu Atakupa wako wa maisha yako ....we nimzuri sana daa jackline usijali.

rahmanaimnaim
Автор

millard unajua kuuliza maswal nakuhandle situation za mastaa unapofanya nao interview big up bro i luv ur work

hafidhiahungu
Автор

Sad indeed... Mapenzi yanauuma. You are beautiful Wolper n God will bless you with a good man.

stargalkenyan
Автор

Wangap wameitafut hiiii..baada ya harmonize😂😂😂kuongea

florachrist
Автор

wolper is a strong woman❤❤❤❤may God bless yuh

davidlusakha
Автор

Nakupendasana wolper unajuwa kuongeyasana acana nahawo vicece vizuri vyako viko mbelle allah anakuonasana mtuwetuu✌️💪💪💪

thierynduwimana