ALIKIBA ATOA YA MOYONI KUHUSU DIAMOND UNAWEZA UKAWA UNAPENDWA HUJUI UNAPENDEWA NN SHOW MCHANA BALAA

preview_player
Показать описание
Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!

We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!

#entertainment #news #music #funny
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwamaelezo yake Alikiba naona kama ameshakuwa mtumzima sasa big up san kaka

SadaHamis-ryfm
Автор

King leo nmekuelewa sass ntaanza kukusapoti sass umekuwa

derimkongwa
Автор

King unabusara ya kikubwa, umeongea point kuhusu Diamond

NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
Автор

Alikiba tokea uanzishe media umebadilika bravo 👍

johnmichaellukindo
Автор

Natamani mondi na kiba kufanya kazi moja tu.

badeuxGerard
Автор

Busala imetumika safi sana king kiba much love kwako ❤❤

RubenMatina
Автор

Tuna subiri matokeyo tu maana nimerudiliya Mara kaza ALAFU king challenge zidanyike iyi nyimbo Yaki mataifa sana from Congo naomba liké zangu ata 10

VgmukomboziOficiel
Автор

Maisha haya yanahitaji Sana busara na busara siku zote ukuweka sehem Salama na kukufanyia ueleweke Zaidi ata kwaasiekuelewa, , roho nzuri Ni mtaji WA maisha. Utu uzima dawa nmefurahi kuskia maneno mazuri King Kiba.. Tanzania ndio nchi yetu.. ❤Big up kaka

AbdallahSengo
Автор

🙏 leo Alikiba narudia kuwa shabiki yako kwaku muunga mkono Diamond maana Diamond ana roho nzuri angalia watoto alio watowa kina rayvanny huyo mwengine asie kuwa na shukrani
Ila Alikiba Ungana na kijana mwenzako mpeperushe bendera ya inchi Tz

ericanodoriano
Автор

Nimekupenda Sana Alikiba wewe ni kaka wa Diamond ❤❤❤❤❤❤

channyanjen
Автор

Hakuwa hivi huyu mnaonielewa mnanielewa hata diamond alivyoanza kuingia kwenye cooperate issues akaanza kumzungumzia Ali positive so Hawa wote Wana chuki zao wanazijua wenyewe

noelmsimbe
Автор

sawa sawa king kiba tujenge tanzania sisi ni wale wale

WisdomMusanya-fvjp
Автор

Nakubali king umetisha sanaaa mzeee one love

keiyreginifley
Автор

Alikiba mkali Sana, Napenda comments zake kWa mara ya kwanza,
😊

AlfroLyd
Автор

Alikiba amejugunduwa sasa apa ni rapa toka 🇨🇩

AlbaSnepa-lrbp
Автор

Kwa Sasa Umebadirika Mwanzo ulikua unafeli sana

jamesjeremiah
Автор

Kiba mi siyo fany wako ila kwa mahojiano haya umenivuta. Kafanye tu challenge ya Komasava, kusema kweli itatrend kuliko hata ile ya brown

CamweziKarrashnekov
Автор

Leo hata mimi nimeanza kuwa shabiki wako umeongea vizuri kuhusu diamond tunapenda tusikie hivyo

KulwaRamadhani-qd
Автор

Imeisha hiyo king amesema bas tumefunga ilo 😊

mebumohammed