LAST BORN AUKUBALI MOTO WA FEISAL/AZIZ KI NI MOTO MWINGINE/KOCHA WA AZAM HANA MBINU ZA KUTOSHA.

preview_player
Показать описание
Hii leo Tarehe 23 mwezi October ni derby ya Dar es Salaam inayo wakutanisha Yanga Sc dhidi ya Azam Fc katika dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa kumi na mbili na nusu jioni.

Matukio yote muhimu kuhusu mchezo huu wa Ligi kuu ya NBC utayapata kupitia Mpenja Tv kabla na hata baada ya mechi.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante. Una upeo Sana Allwah akubarik. Washamba nao Allwah awazinduwe waondokane na ushamba wao.

saidamustafa
Автор

Huyu jamaa pamoja na G.Yanga wanajua sana

fahadfahmy
Автор

Huyo jamaa ni muwelewa sana hana ushabiki

kassidpandu
Автор

Sisi ndo tumemtengeneza huyo hakupaswa kushangilia...

rashidathumani
Автор

Huyu ndo shabiki unaongeya kweli yani commentaires zako uko sahihi wewe unaongeya kweli sio kama watopolo wakina god hawaujuwi mpira wanaongeya ujinga tu

allyshabani
Автор

Na kwa Simba apambane hivyo hivyo sio kwa yanga tu.

isacklyanga
Автор

Feisal ni kweli kaupiga mwingi sana hata kama watachukia kweli ni washamba Tuu wanataka akae hadi lini?

kassidpandu