MSTAAFU MWINYI AIKANA PICHA ALIYOPOST MAKAMBA -'Kweli Sikuipenda'

preview_player
Показать описание
MSTAAFU MWINYI AIKANA PICHA ALIYOPOST MAKAMBA -"Kweli Sikuipenda"

Mwinyi ameelezea kutofurahishwa kwake na kitendo kilichofanywa na aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba kutumia picha yake katika mitandao ya kijami muda mfupi baada uteuzi wake kutenguliwa.

Alisema picha iliyotumiwa na January katika mitandao ya kijamii, ikimuonesha yeye ameketi naye wakicheka muda mfupi baada ya kufukuzwa uwaziri imemkwaza kutokana kutumiwa katika mazingira na wakati usiostahili.

Mwinyi alisema picha hiyo ilipigwa zamani wakati January alimpomtembea kupata uzoefu wake kwa kuwa naye aliwahi kuwa Waziri wa Muungano na Mazingira.
#MzeeMwinyi

#BASHUNGWA #WIZARAyaVIWANDA

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Safi sana mzee wetu Mwinyi.. Umenena kwa uzuuuuri ..tena umenena vyeeema .. Weye ni mzee wetu wa busara saaana.. Hatutaki siye mtu yeyote akuchafue

michaelsiweya
Автор

Wasikusingizie Mzee wa watu, we uko poa kabisa
Mzee unaye muheshimu Mungu, Mzee unayeshika Ibada

mamachris
Автор

Pigia mstari..."""MAJI YAMEKOROGEKA"""

cheupemwanga
Автор

Kweli mzee wetu wamefanya vibaya. Ila.mumzuie.msiba asiendelee kuwatoa.maneno.

rahimaaaaa
Автор

Mzee play part yako vizuri usije nyang'anywa ulichojiekea na familia yako..jitete mwaya😀😀😀

leylahley
Автор

Mzee umenishinda tabia maji yamekorogeka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

mamymamiza
Автор

Hivi mnaonaje kama tukiandamana Tanzania nzima kumpitisha Rais wetu Magufuli kuwa Rais endelevu kwa Awamu ijayo badala mwakani kuharibu pesa za uchaguzi wa Rais. Kisha tufanye uchaguzi wa wabunge tuu!! Huu ni mtazamo tuu

johnmbugani
Автор

Huyo mzee vip?hapa makamba yuko na baba yake kukaanaye hivyo kuna shida gani?hapo ni watu wanajichanganya wala haihusiani.

stanleyrushemeza
Автор

There was nothing wrong with that picture!!!

jumakapilima