BUSATI LA MTORO: - MAUMBILE YA BINADAM (UKUAJI WA KIROHO NA KIMWILI) - 20/04/2021

preview_player
Показать описание
BISMILLAH RAHMAN RAHIIM
Asalaam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh......Karibu mtukufu Muislam na usiye Muislam katika Dar'sa maalum ya mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutoka Masjid Mtoro jijini Dar es Salaam, #BusatiLaMtoro

Mada ya leo ni AMRI YA KUFUNGA SAUM NA FAIDA ZAKE KWA AFYA YA MJA WA ALLAH (S.W).

Muwasilishaji wa mada ni Sheikh Yusuf Kidago.

Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
Рекомендации по теме