JOYCE LOMALISA AKIWASHA KWA MKAPA/APIGA TIZI LA KUWAFUMUA VIPERS KILELE CHA WANANCHI/JIONEE MWENYEWE

preview_player
Показать описание
Leo Agosti 5 2022 Mpenja Tv tupo uwanja wa Mkapa Dar Es salaam kukuletea mazoezi ya mwisho ya Yanga kuelekea Kilele cha Wiki ya Wananchi kesho Agosti 6.
.
Fungua video hii kupata uhondo wote wa habari hii.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Lomalisa uyo ni atari kabisa, na shukuru sana kwa ongozi wa team yetu ku muleta lomalisa

yangacongosupporter
Автор

Safi Sana yanga tunawatakia kheri ya mafanikio ya siku ya yanga day mwendee kupaa kimataifa zaidi

josephnchunga
Автор

Ungetuonyesha tu video bila Back vocal ingependeza zaid

jumongjr
Автор

Aziz k sio mu ivory coast ni mbukinafaso

audiphoncealphonce
Автор

We mwandishi au mwana taarabu maana maneno yamekuzidia mpaka unakera punguza maneno but all in all tunashukuru kwa kutujuza tuko pamoja na wewe mpaka utapofukuzwa mpenja

amanlenatus
Автор

kikosi cha simba ni kipana zaid kuliko cha yanga

rashidkhamisjuma
Автор

Unaongea Kama cherehani hueleki Rudi tsj ukasome

mustaphyassin
Автор

Sikuizi huyu dogo Kuna muda ameanza kuzingua kuongea

nyaganyaga
Автор

MTAFUTA SANA SIMLIKUWA MNASAPOTA URUSSI KUIPIGA UKERENI MKOWAPI SASA URUSSI SASA INAPIGWA KAMA MTOTO NA JESHILAKE LIME SARENDA WANAJESHI 2000 WA URUSSI

janiaoma