filmov
tv
🔴LIVE: KUTOKA LIBYA SIMBA YAJIFUA TRIPOLI/ATEBA, MUKWALA, MUTALE WAITAKA MECHI

Показать описание
Kikosi cha Simba kimefanya mazoezi Uwanja wa Abusalim Sports Club mjini Tripoli nchini Libya, kujiandaa na mchezo wa mkondo wa kwanza raundi ya pili kombe la shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji Al Ahli Tripoli, utakaochezwa kesho saa 2:00 usiku kwa saa za Tanzania.
Комментарии