filmov
tv
HIZI NDIZO FURSA ZILIZOPO MKOANI TANGA

Показать описание
Viongozi pamoja na watendaji wa mkoa wa Tanga wamekutana ili kujadili namna bora ya kuboresha maeneo ya uwekezaji pamoja na vivutio vya utalii.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika mkutano wa pamoja uliofanyika wilayani Korogwe,viongozi hao wamesema wakati sasa umefika wa kuimarisha na kutangaza fursa zilizopo mkoani humo ili kuvutia wawekezaji na kuongeza pato la taifa.