NACHA - Grow Up (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
#Nacha #GrowUp

Grow Up Written And Perfomed By NACHA
Directed By Vipper
Produced By Bear Beats

Watch More Videos

Follow Nacha on socials :

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama nawewe unajiuliza kwanini #NACHA Hawi star wakati Mawe yake yanapendwa sana mtaani Fanya ku like
Nairudia Mara ya 9 hii ngoma

chrisskibaking
Автор

G = good
R = rapper
O = of the
W = world
U = usually
P = perfect

Big up sana NACHA

Kwa mara ya kwanza nilipoisikia nikahisi ni Intro nikawa nasubiri Verses na beat kubwa kumbe ni Fasihi iliyotungwa na Fanani ambayo inahitaji Hadhira waliopevuka ndio waelewe ...! 👏👏👏👆👆👆👆

mussakhatibu
Автор

Oi wee wanangu kama mnaamini NACHA ni Mtu mnomaa Gonga Like hapa aisee🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥

FrancooCyprian
Автор

"Sa ngoja niwajuze, wakumsimamisha Roma
Sio stamina bali ni Napoli, inter Milan na juve "
Genius Nacha

ibrahimabdallah
Автор

Nimeipenda haina hii ya mziki kwa sababu umenifanya kupenda😍 team Nacha love you boi😘

tulipotokasimulizi
Автор

Mziki wetu Nimepata lecture moja tamu sana asubh hiii, Mungu akuweke sana Nacha, i do trust oneday ulimwengu utajua nini unafanya, let us put in work n trust in Allah (God)

alphaabdallah
Автор

Kuna kitu kwa Huyu Jamaa Embu fanyeni kumpa sapot ya Nguvu🙏💪💪💪

geofreykitundu
Автор

"POETIC JUSTICE"...Kenya imeshafika na tumekuskia vizuri sana Mr Wordsmith.

peteradonga
Автор

Nacha cjui nikusaidieje ufke nnakotaka
Wew ni msanii ambaye unaandika verse kwa kutumia moyo tofaut na wanaitumia akil
Nakukubal sana nacha mchiz wangu
By Abdony Classic

abdouljn
Автор

Grow up...this song touches a lot...it reflects the real life of Tanzanians....

warlenjerome
Автор

Mafanikio ya chochote ni maandalizi toka chini 🔥🔥🔥🔥🔥

FemiOne
Автор

Mpak sasa mtaani ni msoto sijakutan na what is biology
"Kam umeisikia hio gonga likee"

taifamoja
Автор

Nimeisikiliza mara nyngi sna hii song ila nimechukua ki2 big u NACHA

abduljumaa
Автор

Ujawahi niangusha nacha nakubali sana mtu anar thamin nyumbani broo nakuelewa sana hujawahi kosea

chozyryder
Автор

😂😂😂🙋🙋🙋🙋🙋this iS N A C H A uyu jamaa anaitikadi za stamina

Mathiasmsoma
Автор

wakumsimamisha roma sio stamina, ,ni napoli, ,inter milan au Juve😂😂😂

sengybreeze
Автор

Safii kaka.... asee umeumiza kichwaaa. .. hi ni nyimbo brother

godyaminieli
Автор

Umejitahidi sana kaka yangu. endelea tu utakuwa mtu mkubwa kama prince Ea

doctorickyz
Автор

This is the kind of music I want to hear from many musicians, we can educate people via music rather than singing useless things.

amossichinga
Автор

Hakika ujumbe ni mzuri sana NACHA sana kaka tumezaliwa nchi ya makuti muda wowote jeraha la mkuki uleta mauti maana wamenyonya sana ziwa aina ya titi WAJINGA NYINYI#GROW UP🇹🇿😭

abdullykapole
join shbcf.ru