IMEJULIKANA! MAMBO YA KUSHANGAZA WANAYOONA WANAOKATA ROHO.

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

M/mungu amesema katika vitabu vyake kwamba hakuna kiumbe katika viumbe vyake vyote aliowaumba mwenye ELIMU na roho isipokuwa Kwa uchache tu, ELIMU yenyewe ya uchache ndio hii tunayozaniazania hii, na hakuna atakaejua ELIMU ya roho wala kifo mpaka kiama, hiyo ELIMU M/mungu aliifanya ni kama Siri miongoni mwa Siri zake kubwa kwahiyo si rahisi mtu kujua ELIMU ya roho au kifo kindakindaki.

mkarawizemtasher
Автор

Subhanallah... Hiyo ni cr ya Allah pekee tusimuingilie ktk kaz yake

khadhratkhan
Автор

Subir afarik yeye justin ndo atajua nini ataona hii ni elimu ya ghib asikushuhulishen huyu

allyhassanabdallah
Автор

La vraie connaissance c'est Dieu qui la détient, nous les humains nous avons juste d'imagination, donc chacun peut penser de sa façon mais la vraie réponse c'est Dieu seul

safisalama-dfsz
Автор

Munatudanganya Sana waongo ili kupata hela za kipuuzi, mungu ameshasema ilmu ya roho iko kwake tuu, musitudanganye waovu nyinyi

ains
Автор

Akuna yoyo te anaejua kusu Roho ispokua Allah mungu mwenyewe .. ukichukuza kusu Roho, . Utaa jikutaaa unafanya shirik ndugu yangu ...

mohamedalidarabunyange
Автор

Anaejua tu Ni aliekufa mwenyewe 🤣🤣 hayo maswala ya "near death experience" Ni kupgwa na kitu kizito

eliuskamwelwe
Автор

Tende kazi Burundi tuna wa sikiliza sana

kingsmartamani
Автор

Jamani ndio Mimi ndio Justine Shed sasa twende kazi

edwinelias
Автор

jinsa yakutumia nunta pacha ndio utajua nini mana ya hiyo ishu ya kifo 🙏

gayanimwansasu
Автор

Kwa hapa Leo sikuungi mkono rfk yangu umeingilia kazi ya roho na uumbaji wa MUNGU na ukuu wake kiufupi usituaminishe vitu vya kufikirika wakati mwenye uhakika hayupo labda kama ulishawahi kufa ukarudi hapo nitakubali

mpenzisamaki
Автор

Haya ni yakutafalika ila ukweli sahih anayekuf ndio anajuw anachokion na kinabk kuwa sir yake na Muumba

aminatanzanya
Автор

Huu ni uongo tu. Kifo hakuna anayeweza kukijua na kukisimulia maana huwezi kufa na ukarejea tena, kifo hakina cha mwanasayansi wala mtumishi wa MUNGU wala mganga anayeweza kukijua kifo, usije ukashusha hadhi yako Kwa kuleta story za uongo

georgemassebu
Автор

Waongo awa jamaa ili mladi to usikilize uwaingizie ela

jersonmpeka
Автор

Hata mimi niliwahi kata roho nikarudishwa na malaika roho mtaktifu alinisaidia

josephinechaildofgod
Автор

Leo sioni tukienda kazi coz ni uongo tu

andersonmberi
Автор

Mimi nimeona kizaa tu sijaona chochote

jumakhaji
Автор

wakristo huona Yesu kristo na malaika,
Waislam huona mashetani

adrianbloodjesus
Автор

Unaona unapita ndan ya tanuri Tena kwa harakat sana na Kuna mwanga na mwanga una rang nying, na unawaskia watu wakiongea lakin wewe ukiongea hawakuskii,

mwajumafadhili