NAI: NATAKA MUME WA KUNIOA SIHITAJI MAHARI |NIMEBLOCK WANAUME ELFU MOJA WANAPENDA KITONGA..

preview_player
Показать описание
SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
kwa Mfano
1 - WENYE MARADHI
2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
4 - UBAKAJI
5 - MATUKIO YA KIKATILI
6 - AJALI
7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
8 - WAZEE NA WATOTO
___________________________________________________________________________________
KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE

Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )

Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hicho kitabu anakifata kwanza? Km unakipenda kitabu kifate kimatendo sio kupewa tu huku maisha yako yanapingana na kitabu hicho. Na hapa niseme namshukuru MUNGU, watu wengi wenye kuachana na mafunzo yake hawana maisha raha na amani ktk mali zao na ndoa zao.

nth
Автор

Watu wanafanya ndoa ni km fashion Tuliopo kwenye ndoa zaidi ya miaka 10 na bado tunaenjoy ndoa tuseme Alhamdulillah ni wengi wanazitaka ndoa hawazipati .
Huyu mwanamke anawapima wanaume hana shida ya mume . " MAZIWA ANAKUNYWA NYAMA ANAKULA AFUGE NG'OMBE WA NINI ? "

kiri