filmov
tv
AJALI MV NYERERE: Zoezi la uokoaji na uopoaji lafungwa, wengine wakosa miili ya wapendwa wao

Показать описание
Serikali imetangaza kufunga zoezi la uokoaji na uopoaji lililotokana na ajali ya kivuko cha MV Nyerere iliyotokea kwenye kisiwa cha Ukara na kuua watu 230.
Hata hivyo baadhi ya watu wamedai hawajawaona wapendwa wao wala hawajapata maiti zao.
Hata hivyo baadhi ya watu wamedai hawajawaona wapendwa wao wala hawajapata maiti zao.