Nadia Mukami - Maombi (official video) ' DIAL *811*177# TO SET AS SKIZA

preview_player
Показать описание
#Nadia #Ngomma
Nadia Mukami presents her 8th studio single and video titled 'Maombi' which is a thanksgiving song.

Maombi is a swahili word which means prayer. To set Maombi as your skiza tune SMS SKIZA 5322122 to 811.

Get In touch with Nadia Mukami on social media;

For more info/bookings:
Phone: +2547 10 020 395

Audio by: Vicky Pon Dis
Video by: Deska Torres of Platnumz Pictures
Written and performed by: Nadia Mukami
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

INTRO
Nadia....
(hoyah hoyah hoyah)x2

Nilichopata nikiomba walisema kitakwisha,
Nikitoa shukrani hadharani wakasema najigamba
Hao binadamu walinipa wiki,
Sasa imepita miaka bado wanasubiri,

(Bridge)
Kazi ya Mungu haina makosa,
ingekuwa binadamu anatoa ningekosa,

(CHORUS)
Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi X2

Hoya hoya, hoyaaah X3

VERSE 2
Na mikono nitainua, magoti nipige
Nimweleze jinsi alivyotenda katika Maisha yangu...


(Bridge)
Kazi ya Mungu haina makosa,
ingekuwa binadamu anatoa ningekosa, (X2)

(CHORUS)
Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi X2

VERSE 3:

Maneno ya wanadamu, yalinilenga kama mishaleee
Ila Mungu hawezi kubali uangukee,
Alichoanzisha leo, lazima atakamilisha weeeh


(Bridge)
Kazi ya Mungu haina makosa,
ingekuwa binadamu anatoa ningekosa, (X2)

(CHORUS)
Sio juju ni Maombi, ni maombi,
Si kelele ni maombi, ni maombi, (X2)

Si uchawii weeeh
Si uleviii eeeh
Si kwa nguvu zangu mieee
Si KaNadia

NadiaMukami
Автор

Wale tumefikishwa na Maombi tulipo wapi likes 🙏.Nadia never disappoints 🇰🇪♥️🔥🔥🔥.

princenewton
Автор

Who is still here 2024 🫶❤️🫶 yote ni maombi 🙏🙏

nyinawumuntuashura
Автор

Gonga like kama unaamini lines za nadia zimeenda shule👌

thegreatest
Автор

Wa kwanza from Tz 🇹🇿🇹🇿 wapi jaman naombeni likes hata kumi leo

peterblessing
Автор

This girl give her likes she's just beating all odds

sensationmaraj
Автор

If you believe God's work doesn't have mistakes, tap this like 👇👇👇

admiraltv
Автор

Am still proud to be a Kenyan ❤ love you Nadia maombi❤

lizkimani
Автор

When a secular artist sings gospel everyone thinks they should be doing gospel instead, , c'mon we all need God regardless of what we do

Terryn_Wangui
Автор

Kama unajua kazi ya mungu haina makosa Gonga Like Usitie Lawama Twende Sawa

partohmsee
Автор

To be sincere with you Nadia, Kenyan music you are the one making me proud of being a Kenyan .Gonga like hata kama ni 10 tu for Nadia

presenternathan
Автор

I lost my job in February, I lost my dad in May. I never thought i would see September. Kweli ni maombi si kwa nguvu zangu ila ni kwa neema tuu

davidouma
Автор

Kanadia katambe💯💯💯😍😍
Wapi likes za Nadia

christricky
Автор

Who else feels this song's requires more than a million views 🤗

peter
Автор

Anpiga gospel fire kushinda gospel artists wenyewe. God is great

leetovesi
Автор

For sure ni Maombi
That's why am still alive despite the rejection am facing.

chelseaworld
Автор

Those who are living testimony of prayer gonga like 💖💖💖💖

mercymwangi
Автор

Wenye imani kua ingekua binadamu wanatoa basi wao wangekosa gonga like apo

Sio juju ni maombi tu💪💪💪

reen_g
Автор

Have been here for a 100 time 🔥🔥 kama unajua ni maombi nipee like ❤️❤️

bahatibahaty
Автор

This song talks about the story of my life in 2019, God has been sooo sooo sooo good to me its true prayer works
#Kanadiakabarikiwesana😘

nancymweche