Mito yazidi kukauka Dar es Salaam

preview_player
Показать описание
Zamani miongoni mwa sifa za jiji la Dar es Salaam ilikuwa mito na vijito vyake vilivyomwaga maji kwenye Bahari ya Hindi. Leo sehemu kubwa ya mito hiyo imekauka kama anavyoripoti hapa Ahmad Juma katika video hii. Kurunzi 29.11.2021.
Рекомендации по теме