ATUPWA JELA MIAKA 30 KWA KOSA LA UBAKAJI

preview_player
Показать описание
mahakama ya wilaya ya mbinga imemuhukumu mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya Iginas ndunguru mkazi wa kijiji cha mateka,kata ya mateka halmashauri ya mbinga mji mkoani ruvuma,ignas ndunguru amehukumiwa mapema hii leo tarehe 27 February 2024 kwa kutenda kosa la kumbaka mtoto wa kaka yake mwenye umri wa miaka 12 ,ambaye ni mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi mateka...mwendesha mashitaka kutoka ofisi ya taifa ya mashitaka wilayani mbinga ndugu #Ahmad mwalimu anathibitisha kwa maelezo ya kina ...msikilize.
.
.
.
#chademamedia​ #ccmtanzania​ #chadema​ #actwazalendo​ #ccmzanzibar​ #uvccmtaifa​ #mwanza​ #songea​ #uwanjawamkapa​ #azamtv​ #uchaguzimkuu​ #itvtanzania​ #datasports​ #wasafimedia​ #wasafitv​ #manaratv​ #wasafifm​ #timesfm​ #mbossokhan​ #diamondplatnumz​ #zuchu​ #tiktokchina2021​ #uhondotv​ #sammisago​ #citizentv​ #ntvnews​ #jambofmtz​ #rwandaupdate​ #rwandatoday​ #burunditoday​ #ugandatoday​ #kenyadigitalnews​ #itvtanzania​ #ruvumatv​ #tbcfmlive​ #tbctv​ #mahakamani #sheria #polisiindonesia #jeshilapolisi #dppolice #usalama #gereza #grobaltvonline #chaneltentanzania #lemutuz #mangeshkumar #mangekimambi #mpenjatv #habarileo #mwananchi #mwanahabari #nipashe #wamachinga #ayomatv #shambatv #shutokaltv #bmtv #dizzimonline #kitengetv #rickmedia #binatv #hajismanara #ruvumatv #jambofmtz #diamondplatinamuz #ayotv #chrisbrown, #justinebieber, #migos, #vanessamdee, #bensontz, #channel, #calender, #hamornize #globaltv #dizzimonline
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hongereni sna Kwa team yote ya Habari, mahakama, na waendesha mashitaka. Kesi imeenda kwa Kasi ya 4g safi kabisa

allyalijai