DUUH! RAIS SAMIA ATAKA SIMBA MKALI AITWE TUNDU LISSU, WATU HOI VICHEKO

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Lion is a spirit of Confidence, and Leadership so He deserves that Name 🙌💯✅🏆💪💪💪

hosianamosha
Автор

Wasio jua maaana neno Simba Dume wataona kashfa ila Rais Hongera umeijua Siasa na viongoz wake....CCM

AllyMohamed-wx
Автор

😂😂😂 president Leo ume make my day
Nakupenda rais wangu.

frankmlinda
Автор

Watanzania mnatakiwa kujua kwanini kamsema tundu lisu, na mnatakiwa kuelewa namna alivyo mkaa tundu lisu kichwani ndiomaana haishiwi kumtaja tundulisu kwasababu hajaweza kuonyesha woga wowote kwa raisi yeyote hapa
Mimi sio mshilika wa uchawa au kusifusifu bila kuchuja mambo ata kama wew ni rais lazma nichanganue...,

deniccgabriel
Автор

Nimeelewa kwann lisu alishambuliwa kwa risasi mnyama hatari, utani usio umiza😅

christopherjoseph
Автор

Matusi ya nn acha ushamba siasa siyo uadui wote lengo lao Moja kuwatumikia wananchi

richardgeorge
Автор

Lisu sio wa mchezo mchezo!?nidumehilo laweza kukuoandilia anytime

josephmatiko
Автор

Umejuwa kutufurahisha leo wana chadema

mussaMbwego-lzhd
Автор

Tundulisu pia anafaa kuw mshabiki wa simba

DavisRuiz-utwr
Автор

Wanasiasa n balaa

Saikolojia yao kubwa sana

Revelation.
Автор

Maana ya kumuita jina ilo anajua ni Tundu Lisu ni mbishi sana ana pambana angelikuwa mtu mwengine angeachana na siasa ila amemkubali sana.

jumasuleymani
Автор

Bonge la jinaa simba dume tundurisu kama kashfa sijui

JumaSafari-xl
Автор

Hili tukio naliunganisha kwa mfululizo wa lissu kushwawishiwa kuhama chadema hata asipoenda ccm ccm watakua wamepunguza nguvu ya chadema

PhilipoMwita-bx
Автор

Mnamtesa huyo Simba, ana stress ndio maana anafanya hivyo. Mwekeni kwenye Banda kubwa. Huyo ni Simba sio Mbwa

NyamongoLife
Автор

Simba anamaanisha ushujaa kwa iyo umekiri lisu ni shujaa hongera mh tundu lisu umepewa jina zuri waarabu walikuwa wakiwaita watoto wao haidar ikiwa na maana ya simba kutokana na ushujaa wao

KassimSalim-fime
Автор

😂🤣🤣🤣 Mama mcheshi sana ni watani tu wala hakuna ubaya wowote simba ana sifa ya kujiamini

emmanueltuppa
Автор

Mama hana wivu na MTU kama ni maua yAke kampa

aminitu
Автор

Leo mpendwa wangu umenifurahisha kweli lisu ni simba kweli sio uwongo

nyabahailani
Автор

Kuna watu wajinga sana na hawana uwezo wa kupambanua mambo kwa haraka
Samia katoa jina sio kwa kulinganinisha lisu na simba hapana
Yeye amelinganisha tabia alizo onesha simba huyu (sio wote) wakati anapo karibiwa na watu
Kwa maoni yangu hakua na mrwngo mzuri juu ya hilo jina lakini yote yote mambo ya siasa waachiwe wanasiasa

mirzah