filmov
tv
MWAKA NA NUSU HAWANA MAJI/WAOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI
Показать описание
Wananchi kaya zaidi ya 200 wanaoishi mtaa wa Manzese Midizini, wameiomba Serikali kuwatatulia kero ya kukatika kwa maji zaidi ya mwaka mmoja hali inayopelekea kununua Maji kwenye madumu mbapo dumu moja wananunua shilingi 500 hadi 2000.
EATV ilifika mtaa huo na kushuhudia namna ambavyo wananchi wanapitia changamoto ya ukosefu wa Maji.
Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
EATV ilifika mtaa huo na kushuhudia namna ambavyo wananchi wanapitia changamoto ya ukosefu wa Maji.
Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani