HAYUKO MBALI (Na, F.M. Shimanyi) - KWAYA YA MOYO MTAKATIFU WA YESU - UDSM

preview_player
Показать описание
WIMBO: HAYUKO MBALI
MTUNZI: F.M. SHIMANYI
WAIMBAJI: KWAYA YA MOYO MTAKATIFU WA YESU
PAROKIA YA MT. TOMA WA AKWINO - CHUO KIKUU, DAR ES SALAAM (SHJC-UDSM)
ORGANIST: BARAKA T. MASHIBE
AUDIO: HOLY TRINITY STUDIOS
VIDEO: DIVINE STUDIOS
SUBTITLES: DICKSON G. NYAMWIHULA

ALBUM: MUNGU ANANIPENDA
(Available. Please call: +255676705601/ +255784165119)
Instagram: @kwaya_moyomtakatifu_udsm
Facebook: Kwaya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu - UDSM

Tazama Nyimbo Nyingine zaidi:

Watch Others:

#Munguananipenda #nineema #MoyoMtakatifuwaYesuUDSM #Divinestudios #Holytrinitystudios #kwayakatolikitanzania #chuokikuu #NeemayaMungu #ukwakata #JimbokuuDaressalaam #Mkatoliki #Shimanyi #radiomariatanzania #tumainimedia #jugomedia #rajoproductions #servantmedia #choir #gospelmusic #music #neemayamungu #morningworshipsongs #hymns #praiseworshipmusic #praiseandworshipsongs #praiseworshipsongs #vibingmusic #trendingvideo #trending #livemusic #live #livedance #churchlive #churchlivestream #holymass #misatakatifu #kanisakatoliki #swahilimusic #swahilimusic #swahiliworshipsongs #swahilipraiseandworship #swahilisound #swahilitotheworld #university #universityparish #udsm #chuokikuuchadaressalaam #kwayayachuo #universitychoir #studentlife #schoollife #catholicchurchsongs #kenyagospel #tanzaniacatholicsongs #catholicmass #catholicchurch
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hongereni sana kwa kazi nzuri sana.
Mungu azidi kuwabariki.🎉🎉🎉

despinae.mdende
Автор

Bravo kweli kweli, hii imeenda kabisa, Mungu Anaishi karibu na sisi, Asante sana wanamoyo kwa tafakari hii iliyoshiba. Simple and clear, message sent and delivered.

vitalisantony
Автор

Mungu na atukuzwe kwasababu hayupo mbali nasi ❤️❤️

mashindikejames
Автор

huu wimbo ukiusikiliza vizuri una ujumbe ulio bora sana Mungu awabariki sana

lindaikanga
Автор

tusimtafute sana Mungu ila Mungu anaishi kwa jirani yako unayemchukia

robertcosmas-gi
Автор

Yaan moyo tunagusa tunaachia wooote mnabarikiwa🥳🥳

williamndossy
Автор

Wimbo mzuriii umenibarikiii sana mungu azidiii kuwainua Waimbajii

rogerlyimo
Автор

Nyimbo ni tamu sana, Mungu hayuko mbali🥰💗❤❤

claudkiswaga
Автор

tulioangalia mara kumi kumi tujuane hapa😄😄😄 wimbo ni mzuri mno 🥰🥰

mligotv
Автор

Kwann kuhangaika kumtafuta MUNGU wakati yu pamoja nawe😊❤❤

PRINCESS
Автор

Kwakweli tusihangaike, Mungu hayuko mbali 🎉❤

linuskamarasente
Автор

Nabarikiwa kupitia huu utume Mungu awabariki ❤

SuzanaJohn-ti
Автор

aloo, wimbo mzuri sana hongeren kwa utume.
♥♥♥♥

vianeyMahenge
Автор

❤..I will always love sacred heart of jesus christ UDSM💝💝

williamndossy
Автор

Tusipende kuhangaika kumtafuta mbali wakati yupo karibu yetu....

lazaromugoo
Автор

Mungu wetu anatupenda nasi tueapende jiarani zetu

FaustaWilliam-cp
Автор

Ila mpiga kinanda 😊😅au basi tu naenjoy sanaa🎉❤

NeyleeAr-vcrt
Автор

Aiseeee ....Kumwimbia Mungu kuna raha waimbaji wote tujuane😋✨🤞

ChristopherChole-wztt
Автор

Jamani haka ka wimbo kazuri ni zaidi ya faraja❤❤🎉🎉🙏🙏🙏🙏

AjunaSostenes-uu
Автор

Hongereni sana kwa utume mwema,
Wimbo mzuri sana
Mungu wabariki waimbaji na wasikilizaji 🙏🙏

RobertMofulu-yixe
join shbcf.ru