FULL SHOW YA JAY MELODY LIVE PERFORMANCE WAREHOUSE MASAKI

preview_player
Показать описание
© 2024 Ophoro Tube. All original content is protected under copyright law. Unauthorized use, reproduction, or distribution of any material is strictly prohibited.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Aslay kaua zaid.. Kama show yake vile... Big up Sana ASLAY

sunguraally
Автор

Kiukwel jay mnoma xana nakukubali na kukupenda xanaaaa❤❤❤❤❤❤❤

leahmahungo
Автор

Ubaya wa huyu jama achagui uwe wakike au wakiume utaniamba tuu 🙌

GiftRevocatus
Автор

Dogo atumii nguvu kbsaa nyimbo zinajiuza❤❤

mumjey
Автор

Good job jay. Hiyo far away si mmeiweza jamani

IdahAkinyi-pk
Автор

❤❤❤❤ Mpole munhasham alaf anasambaratisha mioyo yetu❤❤

magrethmjeerto
Автор

Kaziii kamwee, Yani kazi yake ilikuwa ni kubadilisha Nguo tuh, 😢

mwanashaali
Автор

Audio quality bado hamko vzuri chanel yenu

djrocky
Автор

Jay mbona waimba ka waongea king kakuosha

mohammedyahya
Автор

MWAMBA AJAWAHI TULIA NGUVU HII KAZI INA MPENDA SANA 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 ❤❤❤

edwarddastani
Автор

Sikupingagi ila jay melody live band bado hujakomaa ona alikiba alivyo enda na bend kafanyie kazi hili

issamanongi
Автор

Jay motooo ananifany namkumbk baby wang😂😂jmn

RayMohamed-xlyq
Автор

Show iko Sawa lakini Sound system shida shida

FranklineMazera
Автор

Kuja Mombasa tena eddiedasaxablower apige tarumbeta tena

Babamaploti