JAMAA ANASWA NA MENO 9 YA TEMBO YENYE THAMANI YA MIL. 174, KAMANDA AELEZA..

preview_player
Показать описание
JAMAA ANASWA NA MENO 9 YA TEMBO YENYE THAMANI YA MIL. 174, KAMANDA AELEZA..

Jeshi la Polisi Mkoani Rukwa Katika operseheni zake limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa mmoja mkazi wa kijiji cha Kasekela wilayani Sumbawanga akiwa meno 9 ya tembo yenye uizito wa kiligramu 20.39 yanayokadiliwa kuwa na thamani ya Shilingi 174,900,00(Milioni mia moja sabibi na nne laki tisa)

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hivi kweli huyo mliyemkamata na meno ya tembo ndio muhusikA kweli ?
Au mnataka kumuangushia mzigo sababu ni mtu mmdogo?
Hayo meno atAyafanyia nn yy mkulima? .
Tafakari mwenyewe

mohamedjeizan