Devrix Da fubu _ Mwaka Huu [Visualiser]

preview_player
Показать описание
Devrix Da fubu _ Mwaka Huu [Visualiser]#DevrixDaFubu
Written and performed by ; Devrix Da Fubu
Audio produced by ; Chizybusy
Visualiser by : Director Gaizzy (Kolack Empire)

#devrixdafubu #trending #subscribe
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wa kwanza kuwatch n nani.Thanks for always supporting me and I promise I won’t disappoint you 🎉.

devrixdafubu
Автор

Mwaka huu ni wangu wa kutimiza ndoto zangu in the name of Jesus the son of God

FaridahRashid-jt
Автор

Hii ngoma n moto sijui mbona watu hawawatch ngoma imetulia kama hii

michaelbarasa
Автор

Mimi na wewe ni ndugu na apa duniani tunapita bonge la hit🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 unajua tena unajua sana keep going brother👏👏👏👏👏👏👏👏

LATIFA.
Автор

Nimeona tiTok ukiuliza wimbo unaitwaje haujibiwi hatimae niupata❤❤

YustinaMartin
Автор

I really love the song the powerful song my God continue blessing u❤❤

Kerubo-jy
Автор

If you are from TikTok lets gather here and show love ❤❤❤

BeverEve-df
Автор

hallelujah sure huu ni mwaka wa kufanikiwa na kutimiza ndoto zetu

eliciousnikitah
Автор

kazi unaweza kaka acha nikupe maua yako brother 🎉🎉🎉🎉🌹🥀🥀🥀🍁🍂🌼🍂

wilsonmfyagisa
Автор

Ngoma iko na mpangilio wa musiki ni tamu zaidi...

JamesMwebi
Автор

Watching from Tz mwaka huu lazima kieleweke

onericamedia
Автор

Isingekuwa tiktok nisenge mjua uyu msani.Ok pia mimi mwaka huu mambo yatabadilika.

DanielLugwe
Автор

ACHA NIACHE HII COMMENT HAPA NTARUDI AFTER
5 YEARS UKIWA STAR🎉🎉

ManassehMwangi-bt
Автор

Yaisanire, you've gone through alot but you are strong lady, I believe you will overcome everything, God is going to change your chapter, don't give up

TheMvenTvfamily
Автор

Mungu akulinde sikuzote akutimizie ndoto yako mungu asikuache kamwe katika maisha yako

isakashega
Автор

nimetoka tik tok nimekujakuisikiza hapa.
Ngoma kali

babylonkidd
Автор

Iam here from TikTok show love here song ni nomaa sanaa❤❤❤

SelinaKhisa-xl
Автор

Mashallah Mungu akuweke mbali na mambo yako yafanikiwe inshallah nakumbuka Ile mda tukishindia maji .😢🤲 Naomba ndoto yako ifanikiwe

zahraabdul
Автор

God bless this guy 🙏🙏🙏 bro hii song hua inanikuza sana

MartinSindani-dk
Автор

Kwanza kucommet ako wapi, ngonga lyk,

VickyMulwa