MACHOZI HAYAKAUKI, MAZISHI YA DEREVA BODABODA ALIYEGONGWA NA GARI LA SERIKALI

preview_player
Показать описание
MACHOZI HAYAKAUKI, MAZISHI YA DEREVA BODABODA ALIYEGONGWA NA GARI LA SERIKALI

Miili ya watu watatu waliopoteza maisha kwenye ajali iliyohusisha gari lenye namba za usajili 514 CAQ mali ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro imechukuliwa na ndugu kutoka katika chumba cha kuhifadhia maiti kwaajili ya kufanya taratibu za mazishi.

Robinson Mazengo mwenye umri wa miaka 27 aliyekuwa akijihusisha na biashara ya bodaboda maeneo ya Mkundi Manispaa ya Morogoro ni miongoni mwa waliofariki katika ajali hiyo.

Mwandishi wa Wasafi Mkoani Morogoro @mwanawapakaya255 amefika hadi nyumbani kwa Marehemu na kuzungumza na ndugu jamaa na marafiki wa Robinson Mazengo ambao wameeleza namna msiba huo ulivyo wagusa.

Ikumbukwe kuwa ajali hiyo ilitokea tarehe 5 Desemba mwaka huu kwa gari namba T514 CAQ kwa kuligoga gari la JWTZ na kisha kupoteza uelekeo na kwenda kuwagonga bodaboda wawili pamoja na abilia mmoja.

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113

LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻

Follow Us On:

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

dah polen xan ndg jamaa na marafk wa rob mung awatie ngv

rosekuriyo
Автор

Mwendo umemaliza kaka mungu akuangazie😭😭😭

mwanaidyomary
Автор

Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani, Poleni sana 😭😭😭😭😭

rithakuyala
Автор

Poleni familiya mungu atawatiya nguvu

sabihahamadi
Автор

Robby wangu😭😭😭😭😭takukumbuka milele, RIP KAKA ANGU

angelmumy
Автор

Pumzika kwa amani mdogo angu tumekupumzisha kwenye nyumba yako ya milele

getrudaigonga