Anna Mugwhira ACT ajibu swali la Zitto Kabwe yuko wapi?

preview_player
Показать описание
Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo Mama Anna ameongea na AzamTV kuhusu uwepo wa taarifa za kutoonekana kwa kiongozi wa ACT Zitto Kabwe.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

huyu mama ana hekima na moyo wa kweli. daima amelitakia mema taifa letu. ni mfano wa kuigwa na taifa zima. ni udongo wa cement unaounganisha tofali na tofali. . natamani siku moja awe rais wa nchi. mama Mungu atimize mapenzi yake kwako. love u

josephinedavid
Автор

Mama Anna kweli unasema mambo ya hekima naya ukweli mtupu. Naamini kwa Busara yatafanyiwa kazi na amani yetu na utulivu pamoja na uhuru vitarudi

rosehillary
Автор

Yeah!
Nakubaliana kabisa na huyu mama kwanza anaongea kwa kutumia sauti ya ndani. Ni kweli pia wanasiasa wakaaminj kuwa uzalendo ni kitu cha msingi kuliko mihemko na sera za vyama

marcodominico
Автор

Nashukuru Raisi ameona busara za huyu mama. Amekomaa na najua siasa sio kiki, ni Maisha ya watu. CDM ni siasa za ulaghai, kujifaidisha wao binafsi, wanafikiri ukipinga lazima utukane. Yaani ndipo uwezo wao wa kufikiri ulipokomea. Huyu mama ameonyesha unaweza kutokukubaliana na mtu bila kumtisha matusi ya nguoni wala vurugu. Kachape kazi Kilimanjaro, Magu atakupandisha zaidi.

mamahustru
Автор

ni kweli mawasilian kwa vyam no mbovu saaan, ,kwan JP hamjkutan nae ten

rosemarybenjamin
Автор

mahojiano haya ndio yamembeba hadi kuwa RC. alijibu kwa hekima, siyo Makonda anajibu tu bila kujua anachotwa akili baadae wanamkili

renaldakamugishazeramulake
Автор

sasa zitto nae ujanj wote uo kakimbia kwann asinge sbir waend uko pollic

rosemarybenjamin
Автор

linchi letu kwa sasa halina tena raha ya kuishi tokea uchaguzi umeisha, kwa kweli tutamkumbuka sana baba

seifdisail