A Point Of No Return Part 2 - Wema Sepetu & Steven Kanumba (Official Bongo Movie)

preview_player
Показать описание
A Point Of No Return Part 2 (Wema Sepetu, Steven Kanumba) Mtitu G Game

A beautiful got married to a rich witch family, it later became a challenge to her as she got herself into dilemma whether to leave the marriage or t save the whole family from the darkness evil.

CAST: Wema Sepetu, Steven Kanumba, Mahsein Awadh, Charles Magari

SCRIPT: Steven Kanumba
PRODUCER: Mtitu G. Game
DIRETOR: Mtitu G. Game

Bongo Movies, Tanzania Movies, African Movies, Movie, Comedy, Bongo Comedy, comedy, film #AfrichaMovies #AfrichaEntertainment #Game1st
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tunaoangalia muvi ih mwaka 2024 gonga likes

salomejames
Автор

Ndo leo nimepitia marudio ya hii movie.. Kwakwel inafundisha na inamatumain kuwa mungu yupo... Tujifunze meng kuputia hii movie... Thanks dada wema🤲🏻

HappyKimati
Автор

wah!huo wokovu tuko pamoja gonga like apo chini

janendunge
Автор

08/08/2023 i believe in the power of Jesus still. Nguvu za mwangaza haziwezi shindwa na nguvu za giza. Amina😊😊. those who are watching lately and believe in the power of Jesus like ky comment for reference please 🎉😢

aorosigu
Автор

2024 still watching The Great Kanumba Movie 🎥 May Soul Of Champ Rest In Peace...

nanajoemuzikikwanza
Автор

1:20:06 wema okoka, yaan kumbe mwimbaji mmoja mzuri sana, kama unamkubali wema a kigonga gospel hit like basi

shabanfitnesstv
Автор

Wako wapi funs wa Kanumba na Wema. Nipeni like mi mja wao.

celestinebahati
Автор

2024 still watching 📺continue resting in peace kanumba

WambuaAlex-zzwc
Автор

Kama kuna yule bado anatazama hii movie naomba like hapa tafadhali

shoshoaaa
Автор

Dada wema nakupenda sana karibu kwa yesu nikuzuri sana!

irenemwanaa
Автор

Yap mungu pekee ndyo kila kitu Katika Dunia, hiii !!Yap!! Piga "like"

juliasjembelayexu
Автор

Waoo ambao hatuchoki kuiangalia hii movie tujuane 😃😃😃😃😃

jackiejackie
Автор

Naombeni like kwa wale tunao angalia mwaka huu...R.I.P Kanumba

millyjames
Автор

DADA WEME UNAFAA SANA KUWA MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI, UNA SAUTI NZURI SANA YA KUIMBIA.❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥

patrobamalema
Автор

Kanumba and wema was the best combo ever....we miss you so much our legend continue resting in peace

sharonrobinson
Автор

Mr Kanumba daima tutakukumbuka na kwa wale wanaoitazama kwa mwaka huu like zenu tujuane

peterndossy
Автор

Waoo kumbe @l#wema_sepetu mwimba kwaya mzuri tyuu kama umemuona gonga like hapa twende pamoja 2021 leo

hekimakenyatta
Автор

Wema sepetu congrats....i really like how the way u perform love parts...100%

bonypaulrapando
Автор

Team 2023bado tunasema amani ya bwana yatosha😭Jesus Christ is the King of kings 🙏

minisayounice
Автор

1- 2 2024 still watching this movie kwa ajil ya wimbo aloimba wema.jmn naupenda sana❤❤

asimwejoswamu