Magoli | Gor Mahia 5-1 EL Merrekh | CAF CL 25/08/2024

preview_player
Показать описание
Tazama magoli yote sita, Gor Mahia FC ya Kenya ikiishushia kichapo kikali cha mabao 5-1 El Merreikh Bentiu ya Sudan Kusini katika mchgezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL uliopigwa kwenye Dimba la Kenyatta, Nairobi Kenya.

Wafungaji wa magoli haya ni Ochieng, Onyango, Omija na Rooney aliyefunga mawili huku goli pekee la Bentiu likifungwa na Akinbinu...

Matokeo haya yanaivusha Gor Mahia kwa jumla ya magoli 5-2 baada ya kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza kwa bao 1-0.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

I just cry when i watch that s. Sudan coach😢😢😢 pole kwake anafaa kuangalia career ingine mpira utamuua

fredrickomondi
Автор

Dah kocha wa sudani Hadi huruma Yani kama alie hivi😢😢😢

mtulivu-irnq
Автор

Yani sisi YANGA East Africa tuchakaza wote hata hyo sijui Gor Mahia 😅😅😅😅😅

JELSONMAUKI
Автор

Vp na hao wamepewa millioni ngapi kwa kila gori na laisi waooo😂😂😂

NasrajNasrajhassan-zf
Автор

aaaah naona huruma kwa coach aloo kama anataka kulia or kuongea yan its mixed feelngs😅

ZuberiMaulid-gv
Автор

Hawa wanacheza ligi ya mabingwa gani hii hii wanayocheza YANGA au 😅😅😅😅

Saikalyasi
Автор

Vp nao wamepewa milioni ngapi hao kwa kila goli😂😂😂

NasrajNasrajhassan-zf
Автор

DAH!! MBONA MMEWAHURUMIA SANA TIMU ZA SUDAN KUSINI WAKIKUTANA NA YANGA HUWA WANAPIGWA SABA NA KUENDELEA... SIKU NYENGI WAPIGENI KUMI HAO 😂😂😂😂 WAWAHESHIMU... MAMMAEE

rayisadesigns
Автор

Azam TV ni wasenge sana game imechezwa jumamosi leo ndo mnaweka highlights. Kwani hizo hamsa za Gor mahia ziliwakera?

ericksonodhiambo
Автор

Sio km wamefufuka wamepata vibonde tu wakija bongo kucheza na yanga awa gormahia wanakula 7

abdulhamidyhamady
Автор

Azam muache upuzi
Mechi ilichezwa jumapili mnapost highlights Jumatano
Ama iliwauma juu nyinyi mlishatolewa
Ufala

groovy
Автор

Mungu naomba yanga tukutane na awa wakenya

babukaju
Автор

Hao gor mahia wakija ligi ya bongo hata nafasi ya 10 hawapati😂

othmantv
Автор

Vp na hao wamepewa millioni ngapi kwa kila gori na laisi waooo😂😂😂

NasrajNasrajhassan-zf