Christian Bella & Malaika Band - Nakuhitaji

preview_player
Показать описание
Christian Bella & Malaika Band - Nakuhitaji
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nyimbo nzuri sana, hongera sana Christian Bella🔥🔥🔥

cyprianacyprian
Автор

2024 Bado uko moto kwelikweli. Big up Christian Bella.

cleophasmkungu
Автор

Nyimbo za zamani ni nzuri kuliko siku hizi ni matusi tu

MwakasegeShukuru
Автор

Wimbo huu unanikumbusha rafikiangu mmoja ivi, anautwa eto's makanda😢😢😢

OmmyMassawe
Автор

Ngoma zako bwana ni hatari kwa maisha yetu na mioyoni mwetu mkuuu, ni kama unayabeba maisha yetu huku ndani unatengeneza music

sylivanusbernard
Автор

Bella unagusa moyo WANGU na huu wimbo nalia machozi ya damu

ibrahimmaulid
Автор

Kwann unaniacha nilielie umenigusa sana Bell

anordymanoti
Автор

Nakumbuka sehemu ama kweli Dunia mzunguko

NadyaJuma
Автор

Maumivu makari kila nikimkumbuka, niriempenda sana

Mariamjohn-kx