ROSAREE ''NAPENDA Wanaume''

preview_player
Показать описание
EXCLUSIVE INTERVIEW:ROSAREE female rapa kwenye game ya BONGO FLEVA ameelezea safari yake ya kimuziki na vitu alivyopitia.,PART II
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

safi sana my sister kzkz mpaka kieleweke respect

hamzalausinicemovie
Автор

AFrica kweli hip hop hailipi kama Rnb, but marekani Hip hop ina lipa sana zaidi ya RNB, so nisi kukate tamaa kaza sana naamini kupitia kipaji chako uta fanikiwa 2 the end of the day maisha ya naenda

youngkillermsodoki
Автор

sema wasafi wako vizur jamani camera azichezichezi gonga like kama unakubaliana na mimi

directorpizo
Автор

Dada mzuri mrembo mwny kipaji kikubwa, lakini mgumu kama mkaa wa mawe.

timothmwakakusyu
Автор

Rosa ree dada angu kwanin usifany mpango ukahamia zako marekani maan ndio wapenda hip hop maan naon wa Tz bad hawajajua kipaj ulichonach nenda mbel ili waanze kukutafut na torch

mkaliwenuoriginalpleasesub
Автор

She's a good rapper bt she's scary..sorry though I didn't mean to offend anyone

dinahlwambi
Автор

Naomb utoe ngoma n Nick minaj itapendz san

johlelo
Автор

wasaf napenda kaz zenu ila naomba video ziweze kudownlodika offline

damianjoseph
Автор

MBONA HILO LIPINI PUANI KAMA LINAKUZUIA KUONGEA VILE

gombatv