DIDA ANYONGA KIUNO KAMA RAY C, MBAGALA 'YALIPUKA' KWA SHANGWE
Комментарии
Yanga wapo serious sana kwenye maamuzi 🤣🤣💐💐💐
MwazambaMicrofinance
😂😂😂vijana wako serious jamaniiii 😢😢 mwijakuu
NahlaRashed
Mwijaku km tunemsamehe mke wke. Basi mke wa mwijaku avue nyekundu avae kijani na njano. Ndio tutakua radhi.. siku nyingine usirudie upuuzi huu mwijaku...
nyulaseptember
Kiroho Mwinjaku ndio keshamtoa mkewe mbali naye, aombe sana rehema za Mungu
ianak
🎉🎉watu waache kuahid ahid mambo ya hovyo na dharau waache
Wazee wa yanga mngemuacha kamwe aende sijapenda wap kwann walimpiga shetani wa yanga alipotooa ahadi 😂😂
malietamaliet
Waze Yanga mkowapi musuluhishe hayo mambo vijana wayavariya njuga mtamutiya aibu mke wa huyo mwehu Mwijako sio poa mke wake ana familia jameni walindie ayibu
aliceniyungeko
Daaah wananchi 😂😂 mnajua kukera 😂😂😂😂😂 meijak😢hali tete huku anatakiwa alipe 5B huku anatakiwa atoe mke 😂😂😂 kumamake
Ila Ali kamwe anataka Sana kuoa ila ssa hajapata mke sahihi n wakumuelewa ili waanzishe familia pamoja n pia msemaji wetu anatamani ingekuwa n kweli inshallah ssi kma wana yanga tunamuombea dua nene atapata mke bora bali c bora mke hapana😂😂, , , nitafurahi Sana nikickia kampata mwandani wake🤲🤲mwenye atamuheshimu, kumvumilia, kumjali n pia kumstiri katika hali zote iwe n kwa raha au shida.Mm kma mwana yanga💛💚💛💚inshallah nakuombea dua nene kwa Allah🤲ili aweze kkupa subra ili upate mke yanga damu and together we can make it💛💚💛💚💪💪love you all wananchi wenzangu
Saumumkambemkambe-glty
Kigoma cha Uruguai, hatuna Dogo sie jamaniiii
FridaManga-iq
Yaanu ahadi ni deni kulipwa ni lazima mwijaku kakalia chuma chenye ncha kali
bonifassimon
Huku Billion 5 huku Mke! Mwijangu mpka aache mdomo mamae😂😂😂😂