Moyo - Juma Bhalo Song

preview_player
Показать описание
Ama Tuma Ujumbe Kwa Whatsapp: (+254) 706 722 620.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mashaallah nyimbo zake ajab hakuna tena kama yy Allah amrehemu amueke pahali pema peponi amsamehe madhambi na makosa yake

husnaabeid
Автор

Hajazaliwa kama Bhalo. Mola akusamehe mapungufu

abdufatuma
Автор

Allah akulaze pema peponi juma bhalo mikipenzi wa nyimbo zako

HalimaHalima-idcb
Автор

Nice from 🇸🇦🇸🇦 mzee wetu ulikuwa mtunzi kweli Allah akurehmu sote wataraji marhem❤❤

jorgettemwajuma
Автор

Moyo penda usijali waelewa mambo yote nema haiko mbali palipo majaliwaaa❤❤❤❤💋💋💋

TabasumTab-xozn
Автор

Allahuma ghfirlahu warhamhu waskinhu fijjannah

rihanadecor
Автор

Wakti kama huu tunaelekea culture ndio ulikua unatuburudisha kwel mungu akurehem kigogo wanyimbo za mahaba akufungulie mlango wa jannah naakusamehe yote

anitariziki
Автор

Nice song
ரொம்ப நல்லா இருக்கு
அருமை

dhamodaranggovindaraj
Автор

Old is gold ALLAH akupe jannat nagheem na akusamehe alipokosea.

paulinacherement
Автор

Hiyo alikuwa rafiki wa baba yagu Mohamed yusuf bakari Muji malindi shela mugu aweremu aziweke roho zawo.peponi Amin

fuadyusuf
Автор

Mungu awarehemu wote walotanguliya mbele za haki

fatumaabdalla
Автор

Moyo penda usijali waoooo bhalo kipenzi changu Allah akulehem

victoriageoffrey
Автор

Allahuarhamhu Allah amughufirie DHAMBI zake amuweke pema peponi AMIN 🤲🤲🤲😭😭😭😭😭😭😭 wallahi naliya kwa huyu mzee nikumbuka na nikisikiza nyimbo zake

chozilasamaki
Автор

Allah amemjaalia kipawa. sauti. pumzi. lugha. jambo lililofanya kupata wapenxi wengi. Africa Mashariki yote.

anwarambar
Автор

1 Nataka nyimbo
"mama wa mtu si mama, mama ni aliyekuzaa".
2. Happy birthday (mama)

bakaribabu
Автор

Africa Mashariki yote mpaka leo. hajatokea kama yeye. اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناتك

anwarambar
Автор

Moyo 😀nikisikiliza ii nakumbuka nyimbo ile hunitaki kunisumbua ya nini nice song

hajitony
Автор

Leo wa kwanza bro kuiona moyo thanks kijana cha Golden voice

salimkadenge
Автор

Eeeemame hunivua, , , Allah swt akuweke kwenye waja wake wema peponi Yarabb

sayyid
Автор

plz post ( hunashukurani moyo ) the best song also my late uncle used to sing alot

allahsservant