BONGO DAR ES SALAAM S02EP03 - MAPACHA

preview_player
Показать описание
Hii ni Episode ya Pili ya SEASON 03 Katika Drama ya #BongoDaresalaam Kutoka kwa #DudeBongo ambayo inaoneshwa kupitia #WasafiTV

Kama Ulikosa Season 1 Basi Hii Si ya Kukosa Kabisa, Ubunifu, Ujanja, Akili Nyingi na Maarifa ya Kuweza Kumtegua Masta Mwenye Dar es Salaam Yake DUDE Umeboreshwa Zaidi

USIKOSE KUTAZAMA KILA JUMANNE #BONGODARESSALAAM KUPITIA WASAFI TV
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Gongaaa like twendeee sawaaaa kama unamkubaliii dude

heryerasto
Автор

Wangap 2naangalia bongo dar es salaam huku 2nasoma coment

yussuphkazumar
Автор

Aisee dude the boss hujawahi kukosea @bongodaresaalam 🔥🔥🔥🔥hatuna mpinzani

queensuzy
Автор

wakati tunamsubiria kitale na maneno ya kuambiwa hatuna budi ya kumcheki dude bahati nzuri dude yuko vzuri hatuangushi bando letu haliendi bure

kizinja
Автор

Huyu dada wanapenda kumtapel jmn😥😥...ila Me nampenda 😍🤗

irenechristian
Автор

Hii imerudiwa dude jiangalie usiwe unarudia rudia unatumalizia bundle

issanaseeb
Автор

Mbona marudio jmn kama umejua ni marudio gong like

emmanuelsamwel
Автор

Dude noma Sana kubali xana kinoma an big up

simonandrew
Автор

Mshenzi ww wizi ndo kazi yako duuuhh Yani we noma Kama vizuli sana

mohamedishabani
Автор

Kama umeixikia mwenyezi mungu hatatuxaidia gonga like twende xawa.

timotheopaulo
Автор

Pamoja na kasoro ndogo ndogo, me nawakubali sana aisee

Cambarada
Автор

Dude Wala SI taperi, anaigiza kama kuhamasisha, kuelimisha na kuburudisha tu, dude namfaham Toka tabora Hana shida na mtu, ni woga wako tu ww unayesema dude kuwa taperi😂😂😂😅😅😅❤❤❤❤

MariamMateo-ih
Автор

Naikubali sana Bongo Dar es Salaam lkn mbn leo mmeirudia hii. Tushaiona tangu season one

jodanyusuphy
Автор

Hahahahha... Kawatapeli Ndo mmekwishaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂

prophetessmsolo
Автор

26:25 huyu jamaa aliyeshika gazeti hongera zake, amevaa uhusika sana. Na Team nzima hii ya season 1 huwa ipo vizuri ila yule dada mwingine fanyeni njia arudi kwenye Bongo cs wakiwa wawili ndyo wanatia chumvi ya utapeli

mulastar
Автор

mapacha walim dhurumu màmà angu ýâãņ MPAKA uwajue uwe makin śàñàà ila wana tofaut ndogo śàñàà ima kulwa au dotto anakua mwmbamba ila saùť ñà matendo hufanana ķàmà una date ñàò wawezaa ukawa changanya 😂😂😂😂

nasmafarmsltd
Автор

Dude Leo umetupa macho ya utapeli mara moja tu 15:32 but ungetakiwa umalize nayo tena hapa 24:08

mulastar
Автор

Hahahahaaa ss hapo mwanaume kaenda kuongea. Na mwanaume mwenzie alafu analiaa kitotoo
Alafu et mkewe et nisamehe mie mume wng duh! Hahahahaaa kwel asee bongoo hyo kwel n daresalam 😂😂😂😂

dennisjulius
Автор

Dah.! Dude we noma mm nitakujaga kukutafut unifundshe hayo mapekerechee Etty.!!

tolumnyama
Автор

huyo dada bonge mrefu ana MFUKO WA RAMBO😎😁😁

fadhilimkungura