'Nilishtuka na mwili kufa ganzi nilipohukumiwa kunyongwa'

preview_player
Показать описание
Akiwa na umri wa miaka 18 tu, Rose Yona Malle alikutana na mtihani mkubwa katika maisha yake baada ya kukamatwa mwaka 2012 na miaka kadhaa baadaye kuhukumiwa kunyongwa.

Rose Malle, 29, kwa sasa ni mkurugenzi mkuu wa taasisi ya @tanzaniaexprisonersfoundation ambayo inasaidia bure wafungwa kisaikolojia baada ya kumaliza vifungo vyao.

Je kosa la Rose lilikuwa nini mpaka kuhukumiwa kifo?, na alitokaje gerezani?

Tazama

#bbcswahili #waridiwabbc #tanzania
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Pole sana Wajina..kwel hakuna neno ngumu linalomshinda Mungu..Sifa na Utukufu ni kwa Mungu...nimeumia na nimefurahi pia❤❤

rosemarymsekela
Автор

Pole saana Rose. Ila hii kesi kuna kitu nyuma ya pazia. Ila MUNGU hamtupi kiumbe wake.

umfahad
Автор

Mungu uliyemtumikia ukiwa gerezani usimwache (BwanaYesu). Ushuhuda wako unasisimua na Mungu alikupa kibali cha waziri mkuu kukusikiliza. Maombi yana nguvu ya kufanya lolote alipendalo Mungu.
HONGERA SANA.

jojianaskibura
Автор

Mungu akusimamie utimize ndoto zako za kusupport wafungwa🙏. Story yako inasisimua, hakika wewe ni Shujaa👏👏👏👏

kalundehassan
Автор

Nikiwa mtafiti Muhimbili faculty of medicine miaka ya 1990s nilifika Dodoma kikaza katika gereza la kitaifa Isanga. Kipindi hiki Maalim Seif Sharif Hamad alikuwa kizuizini Isanga. Hili ni gereza kwa ajili ya wafungwa waliohukumiwa kunywangwa hadi kufa. Kule ndani kunatisha. Niliona mengi mengi sana. Pole sana kwa dada Rose Male na hongera dada Martha Saranga wa BBC kwa hojaji hili tukio

rajabkondo
Автор

Hongera sana Waziri Mkuu Majaliwa wewe ni mwema

jadetoto
Автор

Dada Rose POLE sana, Ulikuwa faraja kwa wafungwa wenzako kwa kuwahubiria Injili wengine walimjua MUNGU na kudumu katika IMANI kazi njema sana uliifanya Rose.

FloraNgoma
Автор

Kwa kweli ni simulizi ya huzuni sana kwa huyu binti, kimsingi tunazidi kujifunza kwamba Mungu anabaki kuwa Mungu hata kama hajajibu vile tunataka iwe. Pole sana dada!

sylvestermgale
Автор

Pole sana Dada! Ila kuna namna ya vyombo vyetu vya sheria kujitafakari hasa kwenye vitu kama ivi! Inasikitisha sana aisee

frankneman
Автор

Pole san, 😢 nimeamini wengi walio fungwa sio wote ni wahalifu, Majaliwa mungu ambariki

petermalley
Автор

Pole sana Dada... lakini hiyo love story imekuwa inspiring ❤

mr.johnmerari
Автор

Pole dada na hongera Kwanza mshukuru mungu

JihaadIsmail
Автор

So sad. Pole sana Rose. Mungu akusimamie katika malengo yako

agentx
Автор

Usiombe siku ya uovu ikipagwa kuzimu ni Mungu aingilie kati

annkim
Автор

Pole sana history yako inatowa machozi pole sana

MusondoliRobert-vewz
Автор

Inabidi alipwe fidia kwa kufungwa kimakosa

rose_Winchester
Автор

Isikie tuu hii hadithi, isikukute. Huyu ndio anajua maana halisi ya uhuru na dhuluma zinazosababishwa na taarifa potofu wanazopewa wenzetu wa usalama. Mungu ana kitu amekiandaa kwako.

Shafikimanga
Автор

Nimeangalia huku nalia, Pole Dada Rose 🌹. Unatia moyo pia. 🙏🙏

seciliashirima
Автор

Ama kweli hakuna hakimu wa kweli hapa duniani. Hakimu wa kweli ni MUNGU pekee.

janetsemahimbo
Автор

Daah pole Sana, ila Kila kitu kinakusudi japo si rahisi kupitia magumu ili kufikia Hilo kusudi.

joycekiyao