MwanaFA 'achana' mbele ya Rais Samia, avutiwa na mistari yake

preview_player
Показать описание
Tazama Rais Samia Suluhu Hassan ‘alivyokoshwa’ na mistari kutoka kwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ leo kwenye hafla ya kilele cha Tamasha la Utamaduni na Utalii lililofanyika Kizimkazi Zanzibar.

Katika hafla hiyo, Rais Samia ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Suluhu Sports Academy.

#RaisSamia #MwanaFA
Рекомендации по теме