DanZak - Ipo ft. Passo (Official Video)

preview_player
Показать описание
MMP Entertainment presents "IPO" by DanZak ft. Passo

In this project, in his efforts to give back to the community and support East African music, DanZak features Passo, a new voice in BongoFlava. The East Africa born musician and airline pilot once again blends his beautiful African & Arabic inspired sounds that he calls "Afrabian fusion" for the world to enjoy!

IPO (meaning: "it is there") is a sad love song where DanZak and Passo give hope to those heartbroken that "yours is there, it is there".The audio, produced by Mocco and Mixed & Mastered by Chizan Brain in Dar Es Salaam, Tanzania.

The video is shot in separate locations by two talented directors, Mariot Alvero in Dar Es Salaam, Tanzania and Haitham Al Manjiin Muscat, Oman. Colored by the award winning Justin Campos.

© 2020 Music MasterPieceEntertainment (MMP)

Connect with DanZak:

Connect with Passo:
_______________________________
Lyrics:

Intro:
Hey Danny, na Passo! Mhhh... Mocco!

Verse 1 - Passo:
Upole alinifunza mama
Mazuri tabia njema
Kelele na kujibizana
Siku zoea uliniacha dilemma
Raha ya penzi kupendana
Ila mi ndo nlimpenda sana
Yeye akaniona koroma maa
Kumbe mwenzangu kibiriti ngoma
Unawashwa na unachoma
Umenitia kovu nasonona
Ona.. haaa
Ukaubandika moyo nyama choma
Hufadhiliki huna jema
Umenivunja nguvu
Mi angema ema haaa
Kuna muda najiuliza
Mapenzi nini haswa
Yananitatiza
Na kunikatisha tamaa
Si labda ni miujiza
Nyota yangu haijan’gaa
Yananiumiza
Ila naomba mola
Najua kama yangu ipo

Chorus - Passo & DanZak:
Ipo, haaa haa
Ipo, huwezi n’gan’gania
Ipo, akipanga mola
Ipo, yangu itanifikia
Ipo, haa haa
Ipo, nami nitapata
Ipo, wa kunibembeleza
Ipo, hoooo

Interlude - DanZak:
Aaahhh… yo, yo yo!
Hey Danny!

Verse 2 - DanZak:
Assa iwe basi
Nimen’goa mizizi na nanga nishaichomoa
Iwe basi
Napiga mbizi nakosha majanga tua
Kishanipa homa isopona
Tabibu anikimbie
Misumari uliyo nichoma nimekoma
Visa visanga nyie
Hata kula moyo unagoma mama
Haina maana kuishi pamoja sie
Talaka naisoma ah huku chozi lanitoka
Kanibandika moyo nyama choma
Hufadhiliki huna jema
Umenitia kovu nasonona haya
Kuna muda najiuliza
Mapenzi nini haswa, nini haswa
Yananimaliza
Ila naomba mola baba
Najua yangu ipo

Chorus - DanZak
Ipo, haaa haa
Ipo, siwezi n’gan’gania
Ipo, hoo
Ipo, akipanga mola yangu
Ipo, oh haa haa
Ipo, ah huwezi kupangua
Ipo, oh haa haaa
Ipo

Bridge - DanZak:
Wamemteka kwa nyara wenye ngawira
Ntaionaga
Ila hata kandanda wadunda mpira
Ntaionaga
Ipo siku na nyota yangu itan’gara
Ntaionaga
Haya!

Outro - DanZak:
Mpaka kiitike
MMP
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

ALIYETAMANI HII NYIMBO YOTE INGEIMBWA NA PASSO AGONGE LIKE TUJUANE TULIOUNA UTAMU WA VERSE YA KWANZA!!!

ayoubmsangule
Автор

Goma zuri mnooo sanaa, sema amjalipa promo ya kutosha good music

norascomulenzi
Автор

Passo unajua naisubili ngoma yako kaka

shabanikusaga
Автор

Oya passo unajua mzee baba endelea mzer

chablomontelego
Автор

Hamdum Shamis Hamdun Al Zakwan AkA Danzak Bog Up Bro. Unawaburuza.

anwarjamal
Автор

Kidari kama kidari keep it up young bro king @passo # manzese argentina

joelfredymwalwenye
Автор

i see a big future of music in you....kapa hupingi biga like...

andykhalil
Автор

Big up bro don't give up God blessed you

aminasaid
Автор

*🎵Upole alinifunza mama🎵 💯💯*
*Mumeweza saana. I love songs with meaning 🌪🌪🌪 bonge la movie 👑*

King_Adrizza
Автор

Wimbo Ukopoa sana . kazi kubwa hii Watu wameimba haswaaa

brain_ujazo
Автор

unatoa wimbo now c unaipoteza hii kuna Waaaah

mzenjikichaa
Автор

Congrats nigga...I appreciate it keep it up💯💯🔥🔥

asnakibangu
Автор

Moto saanaa kijana yuko vizuri sanaaaa

konceptualagency
Автор

Ngoma kali sana all the way from tanga boys hii nimeielewa jua nabii hakubaliki kwao ila sasa naanza kukuelewa nn unafanya

shazydallas