BAHATI BUKUKU ASEMA HAYA BAADA YA KUAPISHWA KUWA MCHUNGAJI / SINA UGOMVI NA ROSE MUHANDO

preview_player
Показать описание
#bahatibukuku #bukuku #bukukubahati
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hongera sana kalumbu gwangu, Mungu akubariki sana mputi!!!

mosesallanadam
Автор

Bahati wewe nita kukubali hadi kaburini 🙏🏽🙏🏽 mungu akuzidishie

jeannettekeza
Автор

God bless you bahati nitaendelea kusikiza nyimbo zako

phanicemagare
Автор

Nimependa sana jinsi anavyojibu maswali, yani Kimungu kiroho, wow nakupenda sana Bahati🙏🙏🙏💕💕❤️♥️barikiwa mama wa Gospell

شانسيكينيا
Автор

Wow, proud of you woman of God
I love jinsi unavyojibu maswali hakika aliyo ndani YAKO akiwa mkuu unakuwa na ujasiri.Mungu WA Mbinguni azidi kukupeleka Utukufu Hadi Utukufu Kwa huduma alizo weka ndani yako

florahemmanuel
Автор

I love the way she answers questions, though the questioner was too first, but she answered in gentle manner...great Bahati love you here Kenya...😘🥰

juliaschipa
Автор

The song of bahati bukuku is so blessing

stellasisiko
Автор

Umenifurahisha Sana bukuku unajibu vizuri Sana🙏🙏🙏

fortunatabangili
Автор

Hasante dada pia mwimbaji mwenzangu umenibariki kwa hayo umeyazungumzia niabaraka Sana Amina Amina

evalineokuku
Автор

Nimekupenda Sana mdogowangu bahati unajibu kwa hekima Sana mungu azidi kukuinua

henesysolomon
Автор

Nakupenda sana pst bukuku nabarikiwa nawe

deborahdelly
Автор

I love the way she answers questions, though the questioner was too first, but she answered in gentle manner...great Bahati love you here Kenya...😘🥰ñ

juliaschipa
Автор

Nakupenda sana bahati bukuku you are my best

julliettiramwenia
Автор

Uko vizuri sana lafiki yangu kisabella

nashondaniel
Автор

Mchungaji bahati u baraka kwangu. Mungu akubariki

dorisotiende
Автор

Dada bahati Mungu akubariki nakupenda bure!!!!

apphiaamani
Автор

Mm nimekupenda mtangazaji unajua kuuliza maswali bgp kwako

mwajumabakari
Автор

Dadaangu pungua kidogo, sauti ya zege, na mamlaka, pungua kidogo nkamu, haujashuka bado upo juu

annethmwasuluka