DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI - F MORE MCHUNYA

preview_player
Показать описание


Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kiumbe nyota6 umetisha sana 🎉 FMO MCHUNYA

KasuMuziki
Автор

Og sana mchunya 🔥 🔥 🔥 Dk10 azitoshi like kama angepewa 20 mins

krimsonleoncy
Автор

Big up to green city still prove hip-hop city, big up to F more Mchunya that is big talent one

yojoruta
Автор

Saf sanaaa 100%%%
Studio pia mmechangamkaa safii

kaJEMBEvip
Автор

F more chunya mwamba ni fire 🔥🔥 sana wakati mwingine dakika 10 zikiisha huku mtu anaendelea kuachana msimkatishe jamani mnatunyima uhondo maana vibe ni

raphaeltanzania
Автор

Huyu dogo humu kaharibu haina mdogo Haina lika, hip-hop yakucheza bila wga tingisha kichwa, kipindi, chake na kazingatia, kuludi nyumbani dahhh tumeioga kwkua ukubwa Dawa, sana Fmore mchunya

MosesKinyamagoha
Автор

F More we ni moto wa kuotea mbali big up brother 🔥🔥🔥🔥

kisegeselokisegeselo
Автор

Watot wa green city Hip_hop.
San home boy umeuwah...❤

bantuboy-nemj
Автор

Hivi ndo dk kumi za maangamizi zinavyotakiwa kuwa

Dj anagonga biti kali
MC mkali
Studio mzuka mwingi.

Watu wa mbeya mpaka sasa hakuna alieharibu 🙌🏽🙌🏽🙌🏽

Hii ni ya kudownload kabisa....

EarningsEdge
Автор

Mwanangu f more mchunya umeuwa sana babu bigup sana kwako

kenedymtawa
Автор

Mmoja kati ya marapper nao wakubar umetisha sana mwanang fmo mwenye chunya yake🙌

luggenius
Автор

Nikisikia tu mtu ana tokea mbeya au mwanza najua awezi niangusha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

g_eaz
Автор

mwanangu F MORE MCHUNYA ni moto saana mzee

abdallahselemani
Автор

Daaah uyu mwamba ni jaman Sema MBEYA wana miamba ya hip hop

jaybee
Автор

Talented Mbeya boy wew nihatari nanusu kaka Yan nimeisikiliza Mara 7 online nimedownlod audio HALAFU nikaona Kama siinjoe nikaona nikichukue na video Yani we nimnoma 🔥🔥🔥🔥💥

nekiboychannel
Автор

Yaani Langa flani hivi wa zamaniii 🎉🎉🎉

Heismasai
Автор

Kokaja konunu big up bloop nyendo zile zile za mbeya boy chuma, mbize mc Shaulin seneta

gajalugano
Автор

Duuu chunya akuna kama mchizo mchizo ana aahlibu sana

LusajoJulius
visit shbcf.ru