SALAMA - Angel Benard Lyrics HD

preview_player
Показать описание
Salama - Angel Benard Lyrics HD

Salama - Angel Benard Lyrics
NIONAPO AMANI KAMA SHWARI
AMA NIONAPO SHIDA
KWA MAMBO YOTE UMENIJULISHA
NI SALAMA ROHONI MWANGU
NIONAPO AMANI KAMA SHWARI
AMA NIONAPO SHIDA
KWA MAMBO YOTE UMENIJULISHA
NI SALAMA ROHONI MWANGU
SALAMA ROHONI
NI SALAMA ROHONI MWANGU
SALAMA ROHONI
NI SALAMA ROHONI MWANGU
INGAWA SHETANI ALINITESA
NALIJIPA MOYO KWANI,
KRISTO ULIUONA UNYONGE WANGU
ULIKUFA KWA ROHO YANGU
NA DHAMBI ZANGU ZOTE
WALA SI NUSU ZILIWEKWA MSALABANI
WALA SICHUKUI LAANA YAKE
NI SALAMA ROHON MWANGU
SALAMA ROHONI
NI SALAMA ROHONI MWANGU
SALAMA ROHONI
NI SALAMA ROHONI MWANGU
SALAMA ROHONI
NI SALAMA ROHONI MWANGU
SALAMA ROHONIIIIII
EE BWANA IMIZA
SIKU YA KUJA
PANDA ITAKAPOLIA
PALE UTAPOSHUKA
WALA SITAOGOPA
NI SALAMA ROHONI MWANGU
SALAMA ROHONI
NI SALAMA ROHONI MWANGU
SALAMA ROHONI
NI SALAMA ROHONI MWANGU
KWAKO SALAMA
KWAKO SALAMA YESU
(NI SALAMA ROHONI MWANGU)
SALAMA ROHONI
NI SALAMA ROHONI MWANGU
SALAMA ROHONI
NI SALAMA ROHONI MWANGU
Рекомендации по теме