RAIS MWINYI AJIBU VIJEMBE KUHUSU HARUSI YA MWANAE JAMILA, AULIZWA PESA ALITOA WAPI NA UPINZANI

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mtu Utakuwaje Raisi halafu uifanye Kwa bei Rahisi hata Mimi ningekutanisha watu Dunia nzima😂😂😂😂

AleiHadji-jsed
Автор

Hebu jifunzeni kwa yale yanotokea BurkinaFaso. Kiongozi wa Nchi ile anapunguza matumizi yasio lazima na yale ya kifakhari ili angalau kupunguza ukali wa maisha. Spitali hakuna vifaa ni majengo tu. Mnaendesha magari ya kifakhari huku maskini ya Mungu mlo mmoja unamshinda. Unapozungukwa na masikini si busara kuishi kifakhari.

shaabanmohammed
Автор

Pesa za wananchi mnatumia mnavyo taka harusi siku kumi ss tunateseka njaa

KhadijaHussein-qnge
Автор

Watu wanaishi maisha magumu, ww unafanya kharous lakifahari, ww km kiongozi hukupaswa kujionyesha, basi hamuigi hata alivyokua anaishi maalim Seif,

نوفل-سر
Автор

Kwani si analipwa mshahara jaman Kwan ata zawadi asitoe 😂😂😂😂 eeenh duu

Officialjidaa-sncs
Автор

😂😂😂😂 anajitekenya na kucheka mwenyewe 😂😂

living_creature
Автор

Mkuu issue ni kwamba kwanini unatumia resources za Umma kwa jambo binafsi? Yanatumika magari ya Serikali, Wafanyakazi wa Serikali, Majengo ya Serikali, Na vitu vingi vya umma kwa shughuli zenu binafsi. Hiyo sio sahihi. Sasa kama ulichangiwa kwanini tena unatumia resources za Ummah kwa jambo lako binafsi? Ni matumizi mabaya ya madaraka. Mkuu bado hujafaham mantiki ya hoja hiyo. Unaowatawala wana njaa lakini wewe unaishi kifakhari hata wasiwasi huna. Hiyo ndio hoja.

shaabanmohammed
Автор

Unajua mashoga wapo wengi wengine wanabinuliwa kisiri sana hawajioneshi ila ukibinuliwa hata mara moja basi ujue unabadilika tabia unafata tabia za kishoga sasa mwinyi watu kama hao wala usiwajibu wanakuwa wanawashwa halafu ni mahasid wachawi maisha yao magumu wewe piga kazi na ukiwa na harusi nyengine fanya zaidi ya hii ili waumie zaidi

bongo
Автор

Watu wanamhoji vipi rais. Rais ndio cheo kikubwa duniani. Alafu harus ya mtoto wa rais unahoji. Upinzani hawana akili.

ROZITHOMAS-yq
Автор

Watu wana matatizo mtu unahoji habari ya Harusi?😂

EdnaMbowe
Автор

Huyo Jussa mwenyewe hana mke, ni Shakula ya masela wa mitaa

ahmedalshaibany
Автор

Mie maskini na nkiwa na harusi ntafanya kila kitu ili harusi ya mtoto wangu ipendeze na michango hiyohiyo ya 10, 000 20, 000 na watu wanafurahi sasa wewe uwaziri miaka mingapi raisi miaka mingapi hulipwi mshahara huna wahisani huna ndugu huna jamaa achana nao mashoga hao wivu tuu

bongo
Автор

Jussa umekosa ajenda yakuongea hata 2025 haijafika

MarzuokOG-ll
Автор

Sasa Unaingia Hadi shughuli ya harusi ya watu kwel upinzani hawana Cha kusema

kassimomar
Автор

Halafu rais ulisema wewe huwa hupendi kujibu upuuzi lkn kwa hili shikamoo naamini kama utaanza kujibu na majibu yenyewe yakawa kama haya basi hakuna atakae kushinda, 😂😂

harithwhite