Kala Jeremiah ft One Six - Wosia

preview_player
Показать описание
#KalaJeremiah#OneSix #Wosia #Ngomma

©2021 channel administered by ngomma vas,
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hii ngoma Kali bonge la kolabo,
One 6 wewe jamaa ni fundi sana koras inaniliza sauti yako hakuna tz

eliaschilemu
Автор

One six, brother wewe ni hatari, Mungu azidi kukubariki

onesmongenzi
Автор

Vocals za huyu ..klaa kama kawaida umeifanyia mauaji biti

mtalianoofficial
Автор

Yani ngoma hii nimeitafta sana, niliicheki mara ya kwanza Kwa Wasafi Tv.

Napenda hiyo violin Kwa umbaaaali,
Bars na Vina mia Kwa mia, heshima kala
One Six chorus punch hatari, hizo background vocals zinazama sana.

#RiPMagufuli, mziki huu utaishi.

More Love from Kenya 🇰🇪

stephenmwanzake
Автор

Dah Bonge la Ngoma, Huyu mwamba alopiga hii chorus is Dope

mcfallenmacha
Автор

RIP to our former president,
Kama mmenotice one six anakuja kwa kas sana amna kiitikio alichoznguaa
Big up kala for the collabo + one6

danielwilfred
Автор

One Six, umesababisha chozi langu litoke jichoni

ramadhanimbwana
Автор

Hiyo corus hapana yan ndo imeniliza mpka kamas, R.I.P LEGEND PRESIDENT DR.JOHN JOSEPH POMBE MAFUFULI daima tutakukumbuka baba

irenebarton
Автор

One 6 corus imesimama watu wanazimia uko kwa feeling za hiyo corus big up broo

amanhauli
Автор

Ila one six we Jamaa hapana brother ur Jus Killing in every Chorus bro damn

R.I.P Uncle Magu

yohanamichaels
Автор

R .l.P Dr john Joseph pombe magufuli pumzika baba
Twajua tutakukumbuka
Daima😭😭😭😭

vladimirputn
Автор

This is the song that should be trending at number one, good song

justojutz
Автор

Hivi kweli unaenda baba ... Rest in peace jembe, jemedari vita umevipiga

alverztv
Автор

Huyu ONE SIX ana roho mbaya sana, kamfanyia unyama Kala jeremiah, kamnyang'anya wimbo

boniphacengaiwa
Автор

Kaka kala the best emcee mwenye alisifiwa na mama samia na anko magu

chibodee
Автор

You will always be my favorite Artist, .... Rest in Paradise soldier🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

irenelicky
Автор

R. I. P JPM. One six umeliza kwenye corus

titomsami
Автор

ila one six aliekuloga cjui nan mbona unajua mpaka kero ila dah! kuna m2 kashikilia nyota yako c bure bt one day yes
R.I.P Champ 🙏😥

derrickdeo
Автор

Nyimbo zote walizo mwimbia hayati jpm hii nyimbo ni namba moja

allymwananyamala
Автор

So much pain men!!! This song is killing us Softly ....Bonge moja la ngoma ...Rest Easy King Magu

goodlucklinus