MANGEKIMAMBI Amvua Nguo ZUCHU Kwa TUKIO La DIAMOND na TANASHA Kukata KEKI

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tanasha mzuri, mpole na hana mambo mengi.

zenatyzeya
Автор

Zari all the ways from south Africa amewatesa Sana na harusi yake mpaka dai Hana Raha maskini

zulfakibwana
Автор

Ushukulu tanasha sio wa misifa kama ww ungekua wwe apo mmh tusinge. Laka poleee zuchu kilanga😅😅😅

OmanOman-bxdu
Автор

Zuchu atakua tumbaku mbovu atafaa sikuya zhiki asubili tanasha aondoke ndo urudiwe 😂😂😂

OmanOman-bxdu
Автор

Zuchu kachanganya mapenz na kazi ataisoma namba

ZainabuIddy-ro
Автор

Aende zake huko huyo mange kimambi mbona kwenye birthday ya tiffa diamond na zari nao walikata keki hivyo hivyo, tanasha na diamond hakuna chochote kinachoendele zaidi ya kulea mtoto tu niko

yusternyirenda
Автор

😂😂😂😂😂😂 mange wewe balaaa
Ila zuchu kwanini unateseka, 😅😭😭 au mmechanjianaa yaaan umekuwa kama mchepuko maana sio kwa likizo unazopewa kila wakat. Akiondoka tanasha anakuja Zari. Kazi unayoo

SesiliaTemu
Автор

Zuchu na yeye kilanga chake mapenzi na kazi aviandani matokeo ndoayo😂😂😂

Fatuma-py
Автор

Umaarufu Wa Zuchu Unawatesa Saana mnahangaika kumsumbukia

fatumamahoiga