AGIZO LA MUNGU // AMAX MUSIC GROUP // +254713579583

preview_player
Показать описание
Neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yona mara ya pili: 2“Nenda Ninewi, ule mji mkuu, ukawatangazie watu ujumbe niliokupa.” 3Basi, Yona akaondoka, akaenda Ninewi kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza.

Mji wa Ninewi ulikuwa mkubwa sana. Upana wake ulikuwa mwendo wa siku tatu. 4Alipowasili, Yona aliingia mjini, na baada ya kutembea mwendo wa siku nzima, akaanza kutangaza: “Bado siku arubaini tu na mji huu wa Ninewi utaangamizwa!”

5Basi, watu wa Ninewi wakauamini ujumbe wa Mungu, wakatangaza mfungo, na kwamba kila mmoja wao, mkubwa kwa mdogo, avae vazi la gunia kama ishara ya kutubu.

6Habari hizi zikamfikia mfalme wa Ninewi, naye akaondoka katika kiti chake cha enzi, akavua vazi lake rasmi, akajivika vazi la gunia na kuketi katika majivu. 7Kisha mfalme akawatangazia wakazi wa Ninewi: “Mimi mfalme, pamoja na wakuu wangu, natoa amri hii: Pasiwe na binadamu yeyote, ng'ombe au mnyama yeyote wa kufugwa, atakayeonja kitu chochote. Ni mwiko kwa mtu yeyote au mnyama kula au kunywa. 8Watu wote na wanyama wavae mavazi ya gunia. Kila mtu na amwombe Mungu na kumsihi kwa moyo. Naam, kila mmoja na aache uovu na ukatili wake. 9Huenda Mungu akabadili nia yake, akaacha kutukasirikia, tusije tukaangamia!”

10Mungu alipoona walivyofanya, na jinsi walivyouacha uovu wao, akabadili nia yake, akaacha kuwatenda kama alivyokuwa amekusudia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wimbo mzuri mavazi mazuri barikiwe badilisheni nizo fake hair na maheleni mmezidisha au siwasabato niwajuwao

gutumberayesuministry
Автор

Haleluyaa 🙏🙏🙏🙏..this reminds of when I was a pathifinder..kama uliimbaa huu wimbo ukiwaa pathfinder..Ñipe likes...

Yabesi
Автор

It reminds me when I was a station commander

puritymogire
Автор

Good song .Certain face appearing kila time kwa video. 😂😂😂

denisnyamwange
Автор

Mbarikwe mnaimba vizuri sana. LKwa mavazi mko vizuri. Punguzeni tu kucheza ili msifanane wa watu wa mataifa wanavyocheza.

KelvinNgongoUnyige
Автор

Nice sooong

🙏🏽🙏🏽🙏🏽 Mzidi kubarikiwa

florencekathenge
Автор

The song reminds me my good presentation

denishabuoro
Автор

Am not an sda but i lyke this song very much...may the lord bless you abundantly

secuvizTab
Автор

Amen. ..my song when I joined sda with Ken wafula, moses ojijo, Thomas omweri, naomy kemunto ati masalani

RozRozy-iq
Автор

Watching on Sat, 28 sep 2024 after church voi central sda. Be blessed

felixgesibao
Автор

God, s mission, my mission. Been blessed

GeraldOgutu-hb
Автор

This song reminds me in the years 2004 to 2007. We could sing this song like heaven is descending in the next minute. Ruth Sirengo, Boaz Mulupi, Nyayo Mukhwana Francis, Sammy Mulongo and others {Lwandeti SDA Youth} may God bless you wherever you are.

Ken_W
Автор

We did this song at high school one of the composition that will never fade

keruihtherockmaster
Автор

Wow I watched it on tiktok.and love it

winnie-sryf