Huzuni yatawala waombolezaji wakiaga mwili wa Marco wa Zabron Singers

preview_player
Показать описание
Mwili wa aliyekuwa mwimbaji wa kundi la Zabron Singers, Marco Joseph unaagwa muda huu leo Agosti 25, 2024 nyumbani kwao Kahama mkoani Shinyanga.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mungu alitoa na mungu katwaa jina lake lihimidiwe ameee

Mwanaisharamadhan-gy
Автор

Eh! My God!!! nikama ndoto Marco jmn mbona ivyo

Ericana-ilnu