MAMA WALIOJIFUNGULIA GETINI WASIMULIA TUKIO ZIMA 'KAMA NI OPERATION SI TUNGEKUFA?'

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Zam Zam Allah awape nguvu zaidi yakuwatibu watu, tunawashukulu sana

jamaliahmadi
Автор

Nashangaa mpaka mda huu haijatolewa kauli ya kuwafukuza kazi hii nchi sijui ipo vipi vitu kama hivi unasema tunafanya uchunguzi uchunguzi gani munaofanya hapo timua hao wote alafu sukuma ndani wafungulieni kesi ya mauwaji sababu hiyo ndio kazi Yao na wangefariki hao akina mama hapo hao ndio sababu

mohammedslim
Автор

Yafutwe kazi kabisa Wasingekuwa hakina mama wao wangekuwepo? Ni washenzi sana baadhi ya wahudumu wa afya

RutaEmmaMachumu
Автор

Mkuu wa Wilaya hao wachukuliwe Hatua Hao, pia Madactar welio wengi Kwenye Hospital zetu hasa za Tanzania , hawana Huruma kbs

babyrasta
Автор

hatari sana you manesi wengine sijui wapoje jamani

doramkolo
Автор

Kama watu wanahofiavusalama wao hilo liangaliwe tusitumbue tu watu tukaacha majukumu yetu

tungarazalucas
Автор

Ondoa kabisa Tena huyo Muhaya ndo kabisaaa.... Km walikuwa hawawezi kuwahudumia watu vzr walienda kufanya nn, si wangetafuta kazi zingine za Wanakera sana lkn yakiwa hayana kazi yanavyosumbua, ujue mnashindwa kitu kdgo tu, hata km linatokea tatizo tutakubali kwamba ilipangwa iwe hivyo lkn wakati huo ushaonyesha jitihada zako, badirikeni wahuguzi

RutaEmmaMachumu
Автор

Hao wachukulie hatua wafukuzwe kazi ikiwezekana hawana ata huruma

dariuskasitu
Автор

Hii nchi bado sana...Stupied people with stupied mindset...maendeleo n miaka buku..😏😏😥

ediusgabriely
Автор

Hivi mbona Stori ya nesi aliyeuwawa geita nyie waandishi hamuipi promo kama mnavyoipa hii?

flova