SAMAKI MTU 10(MWISHO)_Hakika Jonathan

preview_player
Показать описание
Sikiliza kisa hiki cha kusismua,hadithi kama hizi unazipata Hakika Jonathan Bookshop, piga simu namba 0629905923
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Shukraan Sana wadau wote wa simulizi mix tuwapende kwa kazi nzur mwenyezi mungu awabariki Sana amiin

bellbell
Автор

Aksante Felix mwenda unajua sana kusimlia sauti yako zuri sanaa

munashabani
Автор

Felix, tupe samaki mtu season 2 please nimeangalia yote leo nice one bro

tatuezza
Автор

Duhh tutakumisije fanya utuletee nyengine banaa shukran

nasseraisha
Автор

Asante kwa simulizi nzuri lakini nauliza nikweli ilitokea au ni acting manake hii ni kali ya mwaka

sumesume
Автор

Jamani mbona imeisha haraka ivyo. Kiukweli imeisha vibaya

mkasimohammed
Автор

nnakisachangu chakweli ntakisimuliavip

ishaq